Prof. Anna Tibaijuka: Ukiwa muadilifu serikali ya CCM lazima utengenezewe zengwe

Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Kapiga kwa mshono
 
Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Amekaa ndani ya mfumo miaka mingi, tuambie wewe upo ndani ya mfumo miaka mingapi.
 
Ndugai alikula shoka moja....mgulu chini...

CCM balaa kuna muda wanakulana wao kwa wao.
 
Kwanini hakuwa anasema alipokuwa madarakani? Ukinijibi nikaelewa, nafuta hoja yangu na naomba msamaha!
 
Lini uliambiwa Mzee Warioba na Mzee Butiku walitengwa? Je, wazee wengine mbona huwasemi? Au wazee walikuwa ni hao tu?
 
Kinachonikera, yeye kala matunda ya nchi hii hadi akavimbiwa kwa kupitia mfumo huu huu. Leo eti anauponda? HAIKUBALIKI KABISA!!!!
kala kavimbiwa kwa ufisadi leo anajitokeza tena eti kujifanya anakemea kweli?? Aisee!! CCM ni janga kubwa saana👿
 
Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Ujinga wake ni nini? Kusema ukweli ndiyo ujinga?
Siyo ahame chama! Anao uwezo wa kuleta vuguvugu la kuleta mabadiliko ndani ya Chama ili kurudisha utaratibu wa CCM ya zamani wa kujali uhuru na maoni ya mtu hata kama atakosoa Chama chake.
 
Hapo sio CCM jombaa. Ni mtu as a person. Ni kama Lissu alivyokaribishwa Chadema na Mbowe, halafu akamtoa Mbowe kwenye uwenyekiti. Utailaumu Chadema?
 
Ujinga wake ni nini? Kusema ukweli ndiyo ujinga?
Siyo ahame chama! Anao uwezo wa kuleta vuguvugu la kuleta mabadiliko ndani ya Chama ili kurudisha utaratibu wa CCM ya zamani wa kujali uhuru na maoni ya mtu hata kama atakosoa Chama chake.
Huyo Mama HAWEZI kuleta MAGEUZI yoyote ndani ya chama. Na watakaoleta MAGEUZI wanatakiwa na yeye Prof. Tibaijuka wamshughulikie!
 
Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Ok! Tufanye kuwa ni MPUNBAVU au MJINGA. Hayo anayoyasema pia ni maneno yakipumbavu au kijinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…