Prof. Anna Tibaijuka: Waandishi walipewa pesa ili kunichafua, sijawahi kutamka "pesa ya mboga"

Prof. Anna Tibaijuka: Waandishi walipewa pesa ili kunichafua, sijawahi kutamka "pesa ya mboga"

mheshimiwamtemi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
291
Reaction score
218
Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue.

Chanzo: Star TV
 
kama ilikuwa si kauli yake, aliwqchukulia hatua gani? anyway ale hizo hela kwa amani, zitakuwa zimekuwa na thamani sasa, atakuwa anajuta kuziita za mboga sasa make vyuma vimekaza!
 
Mama wa watu alichafukwa sana ile ishu ya upigaji. Akabwabwaja mwenyewe nakumbuka. Yeye atulie tuu si kastaafu siasa ama nini!
 
Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue.

Chanzo: Star tv
Mama Ana hakuna wabaya wako wowote ila nafsi yako na tamaa ndio iliyokuvunjia heshima. Ulifanya kazi nzuri sana ulipokuwa UN hapo Nairobi na sisi watanzania tulitegemea siku moja ungekuja hapa nchini kugombea nafasi ya juu ila kwa wewe kupokea hizo fedha za Escrow CV yako ilifia hapo. Hongera sana kwa kustaafu ubunge
 
Angekaa kunyume na ukandamizaji wa demokrasia na uongo bungeni ungejijengea heshma kubwa sasa yeye alikubali kuwa upande wa ukandamizaji,wated time never be recovered
 
Ana, ulikuwa msafi , very clean, ulipokuwa kwenye wasafi, umekuja kwa mashetani lazima uwe shetani! Na ulitoka nje ukaacha kazi UNDP??? ukijua kuwa hapa kuna fedha za nje nje.. ndiyo maana ukaacha "ujiko" wa majuu! na kuja huku. Na kweli ukazifuma za "bure".. Heshima yako uliiua mwenyewe baada ya kujiunga na mashetani wa kijani, ukijua fika kuwa humu kuna aknaLuciferili, nyoka wala watu, nunda wala watu etc

Hata leo unamsifia Jiwe pamoja na atrocities zinazoendelea chini ya utawala wake! Ulikuwa JF ukajitoa baada ya kuona kwa watakatifu hapakufai!
 
Back
Top Bottom