mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Wajanja sana, hudhani raia wanakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kusahau kauli zaoMwanasiasa mwaka tu anaona kama karne, huhisi kuwa watu wanasahau.
Huyu mama mjanja sana, anapoongea utadhani hana hatiaJambaz la ccm huyo. Ila huyo Mama akili kubwa sio km vilaza wa Magogoni na chamwino aliyeonga nyumba za serikali na kumpiga mtu 38 bullets
Anatafuta fursa nyingine ya kupiga huyo mamaWajanja sana, hudhani raia wanakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kusahau kauli zao
Anajuta maana hali imebanakama ilikuwa si kauli yake, aliwqchukulia hatua gani? anyway ale hizo hela kwa amani, zitakuwa zimekuwa na thamani sasa, atakuwa anajuta kuziita za mboga sasa make vyuma vimekaza!
Labda arudi chuoni kufundisha tuuAnatafuta fursa nyingine ya kupiga huyo mama
Hizi nguvu za kujisafisha sasa hivi atakua ameona fursaKwa nini asiende kuwashtaki, ina maana analea rushwa siyo..!?
Huyu bibi anyamaze tu, au tuseme nae kawalipa hao waandishi kujisafisha!?
Huyu mama mjanja sana, anapoongea utadhani hana hatia
Mama Ana hakuna wabaya wako wowote ila nafsi yako na tamaa ndio iliyokuvunjia heshima. Ulifanya kazi nzuri sana ulipokuwa UN hapo Nairobi na sisi watanzania tulitegemea siku moja ungekuja hapa nchini kugombea nafasi ya juu ila kwa wewe kupokea hizo fedha za Escrow CV yako ilifia hapo. Hongera sana kwa kustaafu ubungeAkiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue.
Chanzo: Star tv
Huyu mama Ana Hela sana hii ni zuga tuLabda arudi chuoni kufundisha tuu