Prof. Anna Tibaijuka: Waandishi walipewa pesa ili kunichafua, sijawahi kutamka "pesa ya mboga"

Dada Vero alisema mwanasiasa akisema Ni asubuhi basi atatoka nje Kwanza kuhakiki kama jua limetoka au la!
 
Sasa anajuta, miaka 10 ya ubunge imechafua c.v yake
 
Duh...!.
Huku sasa ni kuchafuana tuu fani za watu, wewe uzingiziwe uongo miaka 6 iliyopita, siku zote hizo ukae kimya usiseme ndio uje kuseme leo!.
Acha kutusingizia sisi waandishi tunahongwa!.
P
 
Duh...!.
Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
P
 
Duh...!.
Huku sasa ni kuchafuana tuu fani za watu, wewe uzingiziwe uongo miaka 6 iliyopita, siku zote hizo usiseme ndio uje tuseme leo!.
Acha kutusingizia sisi waandishi tunahongwa!.
P
Halafu alisema waandishi wote walihongwa kama yupo anayekataa asema ili yeye awaanike hadharani. Kaka kweli ulikosa donge nono ili umpake matope mama huyu asiye na hatia.? Hahaa
 
Tabia za kukana kauli zako unaweza kukana hata baba za watoto wako uliyozaa nao!
 
"Hela ya Mboga"-sijui kama kweli alitamka hilo, lakini kwa masikio yangu nilimsikia akisema "mimi na Mhongo ni majeme ya Kikwete" na siku iliyofuata Kikwete AKAWATUMBUA wote wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…