Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Tutarudi ukurasa huu muda si mrefuNgoja tuone itakavyokuwa
Tutarudi ukurasa huu muda si mrefuNgoja tuone itakavyokuwa
Hapa kuna haja ya kufanya advocacy kwenye suala la mirathi. Maana hata huko kwenye vyombo vya fedha kuna fedha zinabaki baada ya watu kufariki na warithi wao hawazidai. Kwa sheria ya Benki ikifika miaka 10 inabakia ni hela ya SerikaliHapa banana republic tuna changamoto nyingi sana. If your remaining life happens to be less than ten years, wakati unafungua kesi (especially dhidi ya Serikali), upo uwezekano mkubwa wa kufa kabla kesi yako haijafikia tamati.
Najua, kwenye nchi zilizoendelea, kufa kwa mdai sio mwisho wa kesi. Executor (msimamizi wa mirathi) hulazimika kuichukua kesi. Hapa banana republic sijui kama wasimamizi wa mirathi huwa wanajihangaisha na prosecution ya kesi iliyoachwa. Labda kufanya utetezi (kama kesi ni ya madai dhidi yake) ndiyo hakukwepeki.
CJ huyu kaingia July 2025, na kesi ya Prof Assad ni ya mwaka 2021, kwanini unamuita takataka? Mtu hajatimiza hata mwaka madarakani?Halafu lille li CJ linasema mahakamani siyo mahaki pa kupack kesi. Takataka
Tabiri kesi ya Lissu chini ya Msabato.Mahakama Kuu chini ya Prof Ibrahim Juma ilikuwa na hangovers za matisho ya Magufuli. Naamini huyu Msabato George Masaju ameleta mabadiliko fulani. Japo kuna mrundikano wa mashauri mengi lakini natabiri yafuatayo:-
1. Hii kesi ya Prof Assad itapangiwa kusikilizwa muda wowote kabla ya likizo ya Mahakama pale Dec 2026. Maana ujumbe umefika kwa njia ambayo Prof Assad ameiweka
2.Atapata ushindi kupitia order ya Mandamus, ceteorari and prohibition kwa kuwa panapokuwa na utata kati ya sheria na Katika, basi Katiba ndiyo ina PREVAIL.
3.Atapata ushindi wa kurudishiwa mishahara na marupurupu yake hadi siku alipostaafu, lakini hatarudishwa kazini. Kicheere alichaguliwa kwa mujibu wa sheria na ataendelea kufanya kazi zake.
Kuna maamuzi ya kesi ya Henry Zepherine Kitambwa vs National Audit Office kwenye shauri kama hili chini ya majaji LILA, J.A., MASOUD. J.A. na AGATHO. J.A kwenye CIVIL APPEAL NO. 460 OF 2022 na maamuzi yalitolewa mwezi August 2025. (TANZLII)
Henry Zepherine alikuwa anapinga kuachishwa kazi mwaka 2016 na mwajiri wake. Alihangaika CMA, Mahakama kuu na kisha Mahakama ya Rufani na akapata ushindi August 2025
Sawasawa ✍️Tutarudi ukurasa huu muda si mrefu
Tanzania hawakuwa na escheat law. Sijui kama imeshatungwa.Hapa kuna haja ya kufanya advocacy kwenye suala mirathi. Maana hata huko kwenye vyombo vya fedha kuna fedha zinabaki baada ya watu kufariki na warithi wao hawazidai. Kwa sheria ya Benki ikifika miaka 10 inabakia ni hela ya Serikali
Mkuu usichanganye mafaili. Siingii mtego huo ng'o (In Palamagamba voice)Tabiri kesi ya Lissu chini ya Msabato.
Ifafanue hiyo sheria ya escheatTanzania hawakuwa na escheat law. Sijui kama imeshatungwa.
JPM ndiye alikuwa mfumo.
Kenya kwenye uhuru wa mahakama wako dunia yao! Kenyatta mwenyewe alikuwa analialia court ikibatilisha matamko yake,Malawi vipi? Vimemo vya wenyewe ndiyo kila kitu.
Mshaurini apambanie mafao yake hata hicho kidogo atulie alee wajukuu, akifa familia itabaki inahangaikia hayo mafao!Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kuchelewa kusikilizwa kwa kesi yake iliyopo katika Court of Appeal of Tanzania, akisema kinachomshangaza ni kesi hiyo kufikisha mwaka wa sita bila kutolewa maamuzi.
"Sasa tunasubiri, mimi nafikiri kwa sababu hii kesi imekwenda Court of Appeal, na kinachonishangaza mimi ni hicho, kwamba Court of Appeal huu mwaka wa sita, haisikilizwi. Wakenya lazima watoe maamuzi katika siku 91, lakini hapa kwetu hakuna hiyo discretion, watu wanaamua 'ah tutasubiri subiri'."
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa zamani, Profesa Mussa Assad aliteuliwa kushika wadhifa huo na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Novemba 5, 2014 na alihudumu katika nafasi hiyo kwa miaka mitano hadi Novemba 4, 2019, baada ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli kumteua Charles Kichere kushika wadhifa huo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Serikali mwaka 2019 ilieleza kuwa Profesa Assad kipindi chake kilimalizika Novemba 4, 2019.
Zitto aliamua kufungua kesi ya Kikatiba mahakamani hapo akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad katika wadhifa huo na uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya, akidai kuwa Profesa Assad alikuwa hajatimiza muda wake wa utumishi kikatiba yaani umri wa kustaafu.
Zitto aliamua kufungua kesi ya Kikatiba mahakamani hapo akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad katika wadhifa huo na uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya, akidai kuwa Profesa Assad alikuwa hajatimiza muwa wake wa utumishi kikatiba yaani umri wa kustaafu.
Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 8 ya mwaka 2020, Zitto akiwakilishwa na mawakili Dk Rugemeleza Nshala na Nyaronyo Kichere, alikuwa akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad na kuteuliwa kwa Kichere kuwa ni kinyume cha Katiba ya nchi.
Alidai kuwa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma namba 11 ya mwaka 2008 kinachoweka mihula miwili ya miaka mitano ya utumishi wa CAG, ambacho ndicho kilichotumika kuondolewa kwa Profesa Assad, kinakinzana na masharti ya Katiba.
Zitto alidai kuwa Ibara ya 144(1) ya Katiba ambayo inaeleza kuwa CAG atatumikia wadhifa huo mpaka umri wake wa kustaafu, yaani miaka 60 kikatiba au miaka 65 kisheria, sawa na kifungu 62(a) cha sheria hiyo kinavyoeleza.
Hivyo, alikuwa akiiomba mahakama hiyo itamke kuwa kifungu hicho cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi, ni batili kwa kuwa kinakinzana na Katiba na kwamba kuondolewa kwa Profesa Assad kabla ya kutimiza umri wa kustaafu ni batili na pia uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya ni batili.
Mahakama hiyo katika hukumu yake iliyosomwa jana ilikubaliana na hoja za Zitto kuwa kifungu hicho cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi kuweka mihula ya miaka mitano mitano ya utumishi wa CAG ni batili kwa kuwa kinakinzana na Katiba Ibara hiyo ya 44 ambacho kinaendana na Katiba.
Mahakama hiyo ilisema kuwa wakati kifungu hicho kinaweka mihula ya utumishi wa CAG, Katiba inazungumzia umri wa kustaafu na si mihula.
Hivyo, Mahakama ilisema kuondolewa kwa Profesa Assad kabla ya kufikisha umri wa kustaafu kulikuwa ni batili.
Hata hivyo, Mahakama hiyo ilikataa maombi ya Zitto kutamka kuwa uteuzi wa Kichere ni batili, badala yake imesema kuwa uteuzi wake ni halali kwa kuwa aliteuliwa kwa mujibu wa Katiba.
Huyo anawaingeza nyie mliokuwa mnaitwa wanyonge. Angalia kamq kuna anayejielewa alimkubali huyo mtu wenu. Huyu wa sasa duh bora yuleNa inashangaza hadi wa leo bado mfumo wa kukwamisha kesi yake. Jamaa anaongoza nchi akiwa kaburini
Huyo anawaingeza nyie mliokuwa mnaitwa wanyonge. Angalia kamq kuna anayejielewa alimkubali huyo mtu wenu. Huyu wa sasa duh bora yule
Labda kuna kipengele kinachosema "mteule atenguliwe kwa manufaa ya umma"Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kuchelewa kusikilizwa kwa kesi yake iliyopo katika Court of Appeal of Tanzania, akisema kinachomshangaza ni kesi hiyo kufikisha mwaka wa sita bila kutolewa maamuzi.
"Sasa tunasubiri, mimi nafikiri kwa sababu hii kesi imekwenda Court of Appeal, na kinachonishangaza mimi ni hicho, kwamba Court of Appeal huu mwaka wa sita, haisikilizwi. Wakenya lazima watoe maamuzi katika siku 91, lakini hapa kwetu hakuna hiyo discretion, watu wanaamua 'ah tutasubiri subiri'."
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa zamani, Profesa Mussa Assad aliteuliwa kushika wadhifa huo na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Novemba 5, 2014 na alihudumu katika nafasi hiyo kwa miaka mitano hadi Novemba 4, 2019, baada ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli kumteua Charles Kichere kushika wadhifa huo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Serikali mwaka 2019 ilieleza kuwa Profesa Assad kipindi chake kilimalizika Novemba 4, 2019.
Zitto aliamua kufungua kesi ya Kikatiba mahakamani hapo akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad katika wadhifa huo na uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya, akidai kuwa Profesa Assad alikuwa hajatimiza muda wake wa utumishi kikatiba yaani umri wa kustaafu.
Zitto aliamua kufungua kesi ya Kikatiba mahakamani hapo akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad katika wadhifa huo na uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya, akidai kuwa Profesa Assad alikuwa hajatimiza muwa wake wa utumishi kikatiba yaani umri wa kustaafu.
Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 8 ya mwaka 2020, Zitto akiwakilishwa na mawakili Dk Rugemeleza Nshala na Nyaronyo Kichere, alikuwa akipinga kuondolewa kwa Profesa Assad na kuteuliwa kwa Kichere kuwa ni kinyume cha Katiba ya nchi.
Alidai kuwa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma namba 11 ya mwaka 2008 kinachoweka mihula miwili ya miaka mitano ya utumishi wa CAG, ambacho ndicho kilichotumika kuondolewa kwa Profesa Assad, kinakinzana na masharti ya Katiba.
Zitto alidai kuwa Ibara ya 144(1) ya Katiba ambayo inaeleza kuwa CAG atatumikia wadhifa huo mpaka umri wake wa kustaafu, yaani miaka 60 kikatiba au miaka 65 kisheria, sawa na kifungu 62(a) cha sheria hiyo kinavyoeleza.
Hivyo, alikuwa akiiomba mahakama hiyo itamke kuwa kifungu hicho cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi, ni batili kwa kuwa kinakinzana na Katiba na kwamba kuondolewa kwa Profesa Assad kabla ya kutimiza umri wa kustaafu ni batili na pia uteuzi wa Kichere kuwa CAG mpya ni batili.
Mahakama hiyo katika hukumu yake iliyosomwa jana ilikubaliana na hoja za Zitto kuwa kifungu hicho cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi kuweka mihula ya miaka mitano mitano ya utumishi wa CAG ni batili kwa kuwa kinakinzana na Katiba Ibara hiyo ya 44 ambacho kinaendana na Katiba.
Mahakama hiyo ilisema kuwa wakati kifungu hicho kinaweka mihula ya utumishi wa CAG, Katiba inazungumzia umri wa kustaafu na si mihula.
Hivyo, Mahakama ilisema kuondolewa kwa Profesa Assad kabla ya kufikisha umri wa kustaafu kulikuwa ni batili.
Hata hivyo, Mahakama hiyo ilikataa maombi ya Zitto kutamka kuwa uteuzi wa Kichere ni batili, badala yake imesema kuwa uteuzi wake ni halali kwa kuwa aliteuliwa kwa mujibu wa Katiba.
JPM alikuwa mwizi kama mwizi mwingine wa CCM tuZee la chuki binafsi dhidi ya mwamba.
Malawi mnatakiwa muache usnichi kwanza ndio kila kitu kitakaa sawa. Katiba mpya hata ikija kama usnichi utaendelea business itakuwa as usual😀Kenya kwenye uhuru wa mahakama wako dunia yao! Kenyatta mwenyewe alikuwa analialia court ikibatilisha matamko yake,Malawi vipi? Vimemo vya wenyewe ndiyo kila kitu.