Prof. Assad: Kesi yangu ya kutenguliwa iko Mahakama ya Rufani, Mwaka wa Sita haisikilizwi

Hapa kuna haja ya kufanya advocacy kwenye suala la mirathi. Maana hata huko kwenye vyombo vya fedha kuna fedha zinabaki baada ya watu kufariki na warithi wao hawazidai. Kwa sheria ya Benki ikifika miaka 10 inabakia ni hela ya Serikali
 
Tabiri kesi ya Lissu chini ya Msabato.
 
Hapa kuna haja ya kufanya advocacy kwenye suala mirathi. Maana hata huko kwenye vyombo vya fedha kuna fedha zinabaki baada ya watu kufariki na warithi wao hawazidai. Kwa sheria ya Benki ikifika miaka 10 inabakia ni hela ya Serikali
Tanzania hawakuwa na escheat law. Sijui kama imeshatungwa.
 
I like Assad inaoneka kanyooka sana, but it's about time amove on. Aongelee zaidi his current role na kukitangaza chuo chake cha MMU.

Hawezi kurudi kuwa CAG na Jiwe ashatangulia, there's nothing more to it. Kama kesi yake ipo mahakamani na analipwa mafao yake basi aendelee na mambo mengine. Kashazungumzia sana hii ishu it comes off like bitterness and entitlement ya kuamini ile nafasi inamfaa yeye tu.
 
Kenya kwenye uhuru wa mahakama wako dunia yao! Kenyatta mwenyewe alikuwa analialia court ikibatilisha matamko yake,Malawi vipi? Vimemo vya wenyewe ndiyo kila kitu.

Kama unaongelea TZ sema TZ acheni kujificha kwenye kichaka cha Malawi na kuichafua nchi ya watu.
 
Mshaurini apambanie mafao yake hata hicho kidogo atulie alee wajukuu, akifa familia itabaki inahangaikia hayo mafao!
 
Nadhani is the right time badala ya yeye kupinga kutolewa katika nafasi ya CAG aangalie kama yupo benefitted na haki zake zote za msingi kama mstaafu that's Enough


Anabidi Ku- move on na kuendelea na maisha nje ya Camera
 
Labda kuna kipengele kinachosema "mteule atenguliwe kwa manufaa ya umma"
 
Kenya kwenye uhuru wa mahakama wako dunia yao! Kenyatta mwenyewe alikuwa analialia court ikibatilisha matamko yake,Malawi vipi? Vimemo vya wenyewe ndiyo kila kitu.
Malawi mnatakiwa muache usnichi kwanza ndio kila kitu kitakaa sawa. Katiba mpya hata ikija kama usnichi utaendelea business itakuwa as usual😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…