Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?

Miez sita tu, tumepigwa Bilion Saba kuandaa movie hahaha piga Kwa miaka 10 itakuwaje
 
Magufuli aliiba 20 Trillion na bado aliijenga hii nchi kuliko Rais yeyote. Nyie ambao hamjaiba awamu ya nne na sasa hamuibi awamu hii ya sita tuelezeni hela mlizifanyia na mnazifanyia kazi gani yenye manufaa kwa nchi.
 
Nenda kapige hodi pale kijitonyama, waambie nimekutumia, watakuonyesha
Haya mbona majibu ya kitoto sana nikajua una hoja ya msingi tukusikilize kumbe unaleta masihara tu mitandaoni.

Grow up.
 
Magu katumia Miradi, miradi mingi pesa hazikuizinishwa na Bunge, yeye alikuwa anaamuru pesa zitolewe tu.

Kwenye miradi ndipo penye upigaji.

Akaenda mbali zaidi akawa anaipa Mayanga Construction tenda, ambayo ni Kampuni yake.

Kama mrad wa Royol Tour
 
kwa bahati nzuri nyingi ya pesa alizokwiba yule baba kwa sasa zinamilikiwa na akina baba wengine kwa sababu dili zake hakuishirikisha sana familia yake
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Tunahitaji katiba mpya itakayotuondolea rais kuwa mungumtu
 
Hahaaa hamtoshi kwa Magu,hata mseme ametuiba na sisi Watz hatuamini upuuzi huo.
Na bado mtaongea sana tunawaona hamna agenda
.
Magu hakuna kiongozi kama wewe nchi ilipata,dhahabu yetu.pumzika jembe,Watz wengi wanatambua mazuri yako.
Huyo alikuwa mwizi, unamuitaje dhahabu?
 
Huyo alikuwa mwizi, unamuitaje dhahabu?
Kwako wewe ni hivyo,kwetu Watz wengi mno ni dhahabu.
Mind u hamtakuja kumpata Rais kama yeye tena.
Bakini hapo na chuki zenu kama zinajenga nchi.
 
Wananchi wenyewe wezi ila tu hawana fursa

kwny daladala unamsoma konda akijichanganya umemtoka …kwny mwendokasi ukifika kituoni let say Manyanya unamwambia jamaa yako aje kuchukua mzigo wake kupitia dirishani kwny kituo ili usilipe nauli mara mbili, gari la bidhaa za mwananchi mwenzako likidondoka na bidhaa mnaharakisha kumuibia, ikitokea ajali mnavamia majeruhi kuwaibia halafu eti unajifanya kuumizwa na report ya CAG
Hii nchi naona ni sawa tu kuiba maana wananchi wenyewe ni wajinga sn
 
Wananchi wenyewe wezi ila tu hawana fursa

kwny daladala unamsoma konda akijichanganya umemtoka …kwny mwendokasi ukifika kituoni let say Manyanya unamwambia jamaa yako aje kuchukua mzigo wake kupitia dirishani kwny kituo ili usilipe nauli mara mbili, gari la bidhaa za mwananchi mwenzako likidondoka na bidhaa mnaharakisha kumuibia, ikitokea ajali mnavamia majeruhi kuwaibia halafu eti unajifanya kuumizwa na report ya CAG
Nchi imejaa wezi tupu
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Muacha Marehemu apumzike, acha kumzushia uongo.
 
Kwann hatukutangaziwa kuwa pesa iko sehemu fulani ya JPM. Na imekuwa frozen. Mbona kimya tu.Huo uzushi tupu. Mfugale mlimpoison Kama mlivyomua JPM.
Mkuu, Mfugale alipohojiwa na wazee wa system alipata presha palepale na akafa, kama ilivyokuwa kwa malima, akaunti zote zilikamatwa (frozen), Mfugale ndiye alikuwa anatunza fedha za wizi za JP
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Mwaka huu tu ni Trillion 5.8.

Ila hadi 2025 mtamtaja Alie muua JPM ndio tuwape kura.

Shwaini
 
Back
Top Bottom