Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,043
Hahaaa umecatch mafeelings!Hakuna mtu anayekupangia kitu cha kuandika/kueleza humu. Wewe jikite kwenye kueleza mambo ya kukusaidia au kusaidia wengine na mimi ntajikita kwenye jambo ninalolitaka mimi. Buku saba siyo mimi bali ni sukuma gang ndiyo wanalipwa hivyo. Mimi siandiki kutegemea malipo yoyote kama wewe.
Sasa umeandika nini!
Kila mtu sio msukuma wewe.
Si wewe umeanza kuniquote na matusi juu ati wajinga.
Jitafakari,sio lazima niamini unachoamini.