Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Sijaelewa mkuuTilia mkazo " wananchi bi wajanga sana"
Haya mbona majibu ya kitoto sana nikajua una hoja ya msingi tukusikilize kumbe unaleta masihara tu mitandaoni.Nenda kapige hodi pale kijitonyama, waambie nimekutumia, watakuonyesha
Magu katumia Miradi, miradi mingi pesa hazikuizinishwa na Bunge, yeye alikuwa anaamuru pesa zitolewe tu.
Kwenye miradi ndipo penye upigaji.
Akaenda mbali zaidi akawa anaipa Mayanga Construction tenda, ambayo ni Kampuni yake.
Kwa nini tuhuma hizi zisihitwji document kama ushahidi ?Hili liko wazi mkuu, hata bila documents
Tunahitaji katiba mpya itakayotuondolea rais kuwa mungumtuTangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Huyo alikuwa mwizi, unamuitaje dhahabu?Hahaaa hamtoshi kwa Magu,hata mseme ametuiba na sisi Watz hatuamini upuuzi huo.
Na bado mtaongea sana tunawaona hamna agenda
.
Magu hakuna kiongozi kama wewe nchi ilipata,dhahabu yetu.pumzika jembe,Watz wengi wanatambua mazuri yako.
Kwako wewe ni hivyo,kwetu Watz wengi mno ni dhahabu.Huyo alikuwa mwizi, unamuitaje dhahabu?
Hii nchi naona ni sawa tu kuiba maana wananchi wenyewe ni wajinga sn
Nchi imejaa wezi tupuWananchi wenyewe wezi ila tu hawana fursa
kwny daladala unamsoma konda akijichanganya umemtoka …kwny mwendokasi ukifika kituoni let say Manyanya unamwambia jamaa yako aje kuchukua mzigo wake kupitia dirishani kwny kituo ili usilipe nauli mara mbili, gari la bidhaa za mwananchi mwenzako likidondoka na bidhaa mnaharakisha kumuibia, ikitokea ajali mnavamia majeruhi kuwaibia halafu eti unajifanya kuumizwa na report ya CAG
Muacha Marehemu apumzike, acha kumzushia uongo.Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Mkuu, Mfugale alipohojiwa na wazee wa system alipata presha palepale na akafa, kama ilivyokuwa kwa malima, akaunti zote zilikamatwa (frozen), Mfugale ndiye alikuwa anatunza fedha za wizi za JP
Mwaka huu tu ni Trillion 5.8.Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?