Hahaaa umecatch mafeelings!Hakuna mtu anayekupangia kitu cha kuandika/kueleza humu. Wewe jikite kwenye kueleza mambo ya kukusaidia au kusaidia wengine na mimi ntajikita kwenye jambo ninalolitaka mimi. Buku saba siyo mimi bali ni sukuma gang ndiyo wanalipwa hivyo. Mimi siandiki kutegemea malipo yoyote kama wewe.
Mkuu sukuma gang haina uhusiano na kabila la Wasukuma. Ni kakikundi flani kalitengenezwa na Jiwe kipindi cha utawala wake. Ndiyo maana humo kuna mtu kama Bush-ri, Bashite, Ndungayeye na wengine wengi tu bila kuwasahau wanyonge wote. Kwakuwa na wewe ni mnyonge ndiyo maana nikakuita sukuma gang lakini siyo kwa maana ya kwamba wewe kabila lako ni msukuma, though kuna wasukuma kama kabila wako ndani ya Sukuma gang.Hahaaa umecatch mafeelings!
Sasa umeandika nini!
Kila mtu sio msukuma wewe.
Si wewe umeanza kuniquote na matusi juu ati wajinga.
Jitafakari,sio lazima niamini unachoamini.
Mkuu sukuma gang haina uhusiano na kabila la Wasukuma. Ni kakikundi flani kalitengenezwa na Jiwe kipindi cha utawala wake. Ndiyo maana humo kuna mtu kama Bush-ri, Bashite, Ndungayeye na wengine wengi tu bila kuwasahau wanyonge wote. Kwakuwa na wewe ni mnyonge ndiyo maana nikakuita sukuma gang lakini siyo kwa maana ya kwamba wewe kabila lako ni msukuma, though kuna wasukuma kama kabila wako ndani ya Sukuma gang.
Hajabainisha ila analazimishwa kuandika uongo tupu.Ndio maana anaandika uongo eti Stand ya JPM inasababisha foleni.Huo ni uongo tupu.Kuna wahuni wanamwelekeza cha kuandika wanachotaka.Yalisema na mkaguzi mkuu wa serikali. Jamaa alikuwa mwizi, muongo na muuaji. Ndiyo maana hata CAG mpya aliyemtua yeye mwenyewe kabainisha hili pia
Unaweza ukaweka hapo hayo unayodai ni uongo kwenye report ya CAG ili wote tuone?Hajabainisha ila analazimishwa kuandika uongo tupu.Ndio maana anaandika uongo eti Stand ya JPM inasababisha foleni.Huo ni uongo tupu.Kuna wahuni wanamwelekeza cha kuandika wanachotaka.
Duh!! Umesilimu dini ya CCM au umelogwa na Chadema?Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Mwaka wa pili ikaongezeka 0.9T jumla ikawa 2.4TTangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Chato Internation Airport inaonekana sana, na soon tutaanza kuitumia kuanikia mazao msimu wa mavuno, dagaa na samaki pindi tukiibuka ziwani kuzivua.Miradi imeonekana/au nayo alipiga?
Nyingi sanaTangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Mnaosema hivyo hamna Akili wekeni evidence kwamba kaziiba wapi na kapeleka wapiJPM mwizi sana
Unaonyesha ni jinsi gn ulivyo ibilisi mwana wa shetani,nn kinachokufurahishe?Chato Internation Airport inaonekana sana, na soon tutaanza kuitumia kuanikia mazao msimu wa mavuno, dagaa na samaki pindi tukiibuka ziwani kuzivua.
Hatuna cha kumlipa, analipwa na Muumba wake huko, katuachia amana hii yenye faida hadi karne na karne
Nafurahia kuachiwa urithi wa Uwanja wa Ndege ambao unaweza kutumika kwa matumizi mbalimbali kama nilivyoelezea.Unaonyesha ni jinsi gn ulivyo ibilisi mwana wa shetani,nn kinachokufurahishe?
Sema Tu wajingaHii nchi naona ni sawa tu kuiba maana wananchi wenyewe ni wajinga sn
SureSema Tu wajinga
Ujinga ni mzigo.Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?