Prof. Assad: Nikipigiwa simu kutoka juu ya maagizo, asubuhi yake nilikuwa naandika barua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema katika kipindi chake cha utumishi alikuwa akipokea simu za maelekezo kutoka kwa baadhi ya watu wakimtaka asifanye maamuzi fulani, lakini mara nyingi alisimamia alichokiamini kuwa sahihi. “Unaweza ukapigiwa simu ‘ah usilifanye bwana’, na wewe ukasema ‘hapana, mimi hiki nitakifanya’, na mimi nilikuwa nikifanya hivyo,” alisema.

Aliongeza kuwa ilikuwa desturi yake kila alipopokea maelekezo ya namna hiyo, asubuhi yake aliandika barua rasmi kuweka kumbukumbu ya mazungumzo hayo na msimamo wake kuhusu suala husika.
 
View attachment 3615276
The guy still ana depression.
Anaona kama alionewa sana.
Changamoto yetu huwa tunailaumu serikali kwa sababu huwa hawajitetei.
 
Assad anamisimamo yake bana, miongoni mwa ma CAG bora na yeye yupo wakiongozwa na yule mzee lodovick Utto
Utoh is smart. He knew how to operate in a politically charged environment. Assad wakati mwingine alikuwa anashindwa kubaki kwenye orbit yake wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari.
 
sasa kwa nini aandike barua ya asubuhi na siyo palepale anapopigiwa simu? muda ukishapita unasahau mengi …
Hii inaonesha alikuwa akipigiwa simu USIKU MNENE SANA,hivyo alijipa muda wa kutafakari mpaka asubuhi!
Kupata watu imara kama professor ASSAD hutokea mara baada ya miaka mingi kupita!

KULIA NI ISHARA YA NGUVU SIYO UDHAIFU KAMA UNAVYOAMINISHWA.
 
Huo utakuwaulikuwa utaratibu wake namna ya kuanza siku reporting majukumu ya siku iliyopita na kuanza ya siku husika,I can correctly guess
sasa kwa nini aandike barua ya asubuhi na siyo palepale anapopigiwa simu? muda ukishapita unasahau mengi siajabu hata aliandika alichoota usiku badala ya maongezi ya simu …
 
Hii inaonesha alikuwa akipigiwa simu USIKU MNENE SANA,hivyo alijipa muda wa kutafakari mpaka asubuhi!
Kupata watu imara kama professor ASSAD hutokea mara baada ya miaka mingi kupita!

KULIA NI ISHARA YA NGUVU SIYO UDHAIFU KAMA UNAVYOAMINISHWA.
Mkipigana, ukapigwa ukaanza kulia, itaonekana una nguvu au sio?

Kulia ni kukubali kushindwa/kukata tamaa na kuona hakuna kingine zaidi ya kulia.
 
Assad anamisimamo yake bana, miongoni mwa ma CAG bora na yeye yupo wakiongozwa na yule mzee lodovick Utto
Unaambiwa mwamba meza yake kwenye ofisi yake ya CAG alielekeza Makkah.

Yeye ni kati ya watanzania wachache maarufu wana uhakika wakifa wanabadilika na kuwa waarabu. Wenginiene ni Profesa Janabi, Profesa Abdullah Safari, mzee Mohamed Said, Sheikh Mwaipopo, Sheikh Rusanyaga, maulid kitenge, Masoud Kipanya, Mwijaku, Malaria 2 na adriz
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema katika kipindi chake cha utumishi alikuwa akipokea simu za maelekezo kutoka kwa baadhi ya watu wakimtaka asifanye maamuzi fulani, lakini mara nyingi alisimamia alichokiamini kuwa sahihi. “Unaweza ukapigiwa simu ‘ah usilifanye bwana’, na wewe ukasema ‘hapana, mimi hiki nitakifanya’, na mimi nilikuwa nikifanya hivyo,” alisema.

Aliongeza kuwa ilikuwa desturi yake kila alipopokea maelekezo ya namna hiyo, asubuhi yake aliandika barua rasmi kuweka kumbukumbu ya mazungumzo hayo na msimamo wake kuhusu suala husika.
Wazanzibar hawana shida ndio maana kwenye muungano hawakutaka kuipoteza nchi yao,nina asilimia 80 hata Mh Samia anaangushwa na mafisadi papa na washauri wabovu wenye kujali maslahi Yao binafsi.
 
Profesa anaongea sana, ni kama vile wenzake waliopita hawakufanya chochote na huyu tuliye naye hatimizi wajibu wake ipasavyo ila yeye tu ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kusifiwa na ndiye anayefaa kwa kazi hiyo.
Hili si jambo jema kwa profesa kama yeye.
 
Back
Top Bottom