Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
The guy still ana depression.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema katika kipindi chake cha utumishi alikuwa akipokea simu za maelekezo kutoka kwa baadhi ya watu wakimtaka asifanye maamuzi fulani, lakini mara nyingi alisimamia alichokiamini kuwa sahihi. “Unaweza ukapigiwa simu ‘ah usilifanye bwana’, na wewe ukasema ‘hapana, mimi hiki nitakifanya’, na mimi nilikuwa nikifanya hivyo,” alisema.
Aliongeza kuwa ilikuwa desturi yake kila alipopokea maelekezo ya namna hiyo, asubuhi yake aliandika barua rasmi kuweka kumbukumbu ya mazungumzo hayo na msimamo wake kuhusu suala husika.
View attachment 3615276
Amesema harigret anajibu kwa sababu kaulizwa,hilo la depression ni tafsiri yakoThe guy still ana depression.
Anaona kama alionewa sana.
Changamoto yetu huwa tunailaumu serikali kwa sababu huwa hawajitetei.
Utoh is smart. He knew how to operate in a politically charged environment. Assad wakati mwingine alikuwa anashindwa kubaki kwenye orbit yake wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari.Assad anamisimamo yake bana, miongoni mwa ma CAG bora na yeye yupo wakiongozwa na yule mzee lodovick Utto
Mkuu huwa ikiwa umeonewa, inauma sana , tena kwa muda mrefu.The guy still ana depression.
Anaona kama alionewa sana.
Changamoto yetu huwa tunailaumu serikali kwa sababu huwa hawajitetei.
Hii inaonesha alikuwa akipigiwa simu USIKU MNENE SANA,hivyo alijipa muda wa kutafakari mpaka asubuhi!sasa kwa nini aandike barua ya asubuhi na siyo palepale anapopigiwa simu? muda ukishapita unasahau mengi …
sasa kwa nini aandike barua ya asubuhi na siyo palepale anapopigiwa simu? muda ukishapita unasahau mengi siajabu hata aliandika alichoota usiku badala ya maongezi ya simu …
Mkipigana, ukapigwa ukaanza kulia, itaonekana una nguvu au sio?Hii inaonesha alikuwa akipigiwa simu USIKU MNENE SANA,hivyo alijipa muda wa kutafakari mpaka asubuhi!
Kupata watu imara kama professor ASSAD hutokea mara baada ya miaka mingi kupita!
KULIA NI ISHARA YA NGUVU SIYO UDHAIFU KAMA UNAVYOAMINISHWA.
Unaambiwa mwamba meza yake kwenye ofisi yake ya CAG alielekeza Makkah.Assad anamisimamo yake bana, miongoni mwa ma CAG bora na yeye yupo wakiongozwa na yule mzee lodovick Utto
Kabisa.The guy still ana depression.
Anaona kama alionewa sana.
Changamoto yetu huwa tunailaumu serikali kwa sababu huwa hawajitetei.
Wazanzibar hawana shida ndio maana kwenye muungano hawakutaka kuipoteza nchi yao,nina asilimia 80 hata Mh Samia anaangushwa na mafisadi papa na washauri wabovu wenye kujali maslahi Yao binafsi.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema katika kipindi chake cha utumishi alikuwa akipokea simu za maelekezo kutoka kwa baadhi ya watu wakimtaka asifanye maamuzi fulani, lakini mara nyingi alisimamia alichokiamini kuwa sahihi. “Unaweza ukapigiwa simu ‘ah usilifanye bwana’, na wewe ukasema ‘hapana, mimi hiki nitakifanya’, na mimi nilikuwa nikifanya hivyo,” alisema.
Aliongeza kuwa ilikuwa desturi yake kila alipopokea maelekezo ya namna hiyo, asubuhi yake aliandika barua rasmi kuweka kumbukumbu ya mazungumzo hayo na msimamo wake kuhusu suala husika.