Bado yuko bitter sana baada ya miaka yote hiyo; hata mtu aliyekataa kuongeza mkataba wale alishatangulia mbele ya hakei, lakini yeye bado analialia. CAG siyo cheo cha miaka kumi, ni miaka mitano halafu anaweza kuongezewa miaka mitano mingine na rais aliyeko madarakani. Yeye alimaliza miaka mitano ya kwanza halafu rais aliyekuwapo madarakani hakumwongezea miaka mingine mitano, asilalamike. Hakufukuzwa kazi bali alimaliza mkataba wake wa miaka mitano ila hakuongezewa miaka mingine mitano. Hatama Marekani, Gavan wa benki kuu ana mktaba wa miaka mitano, baada ya hapo rais aliyeko madarakani anaweza kumwongezea miaka mingine mitano. Janet Yelen alitumikia miaka mitano tu chini ya Obama, halafu Trump hakutaka kuendelea naye, wakati Bernanke alitumikia miaka mitano chini ya Bush na baadaye Obama akamuongezea piaka mitano mingine kabla ya Yelen.
Hata uchaguzi wa rais kwetu ni miaka mitano, ila akigombea tena akashinda ndipo anakamilisha miaka kumi. Tungekuwa na uchaguzi huru, ingewezekana kabisa kwa rais aliyeko madarakani kushindwa kipindi cha pili.
Huyu mtu ni professor lakini haongei mambo ya ki-professor. Kila anapoongea huwa ni mambo ya u-CAG tu, haongeieli profession ya accounting
Sio anaonaThe guy still ana depression.
Anaona kama alionewa sana.
Changamoto yetu huwa tunailaumu serikali kwa sababu huwa hawajitetei.
ExactlyAmesema harigret anajibu kwa sababu kaulizwa,hilo la depression ni tafsiri yako
Kaulizwa maswali hasijibu?Pia ni principal wa MMU aongelee zaidi his current role na chuo chake.
Profesa anaumia kutokana na madudu na ufisadi unaofanyika wakati lengo la career yake ni Ku expose hayo mamboProfesa anaongea sana, ni kama vile wenzake waliopita hawakufanya chochote na huyu tuliye naye hatimizi wajibu wake ipasavyo ila yeye tu ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kusifiwa na ndiye anayefaa kwa kazi hiyo.
Hili si jambo jema kwa profesa kama yeye.
Unajua maana ya careeKujiajiri Sio mchezo, mpaka Leo Prof Assad analilia kazi serikalini. Kwa maana ameshindwa kufungua biashara yake binafsi.
Huu ni utaratibu wa kawaida wa utendaji Serikalini. Hivyo ndivyo Standing Orders zinaelekeza, so lisielezwe kama ni jambo la kipekee.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema katika kipindi chake cha utumishi alikuwa akipokea simu za maelekezo kutoka kwa baadhi ya watu wakimtaka asifanye maamuzi fulani, lakini mara nyingi alisimamia alichokiamini kuwa sahihi. “Unaweza ukapigiwa simu ‘ah usilifanye bwana’, na wewe ukasema ‘hapana, mimi hiki nitakifanya’, na mimi nilikuwa nikifanya hivyo,” alisema.
Aliongeza kuwa ilikuwa desturi yake kila alipopokea maelekezo ya namna hiyo, asubuhi yake aliandika barua rasmi kuweka kumbukumbu ya mazungumzo hayo na msimamo wake kuhusu suala husika.