Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Mkuu unapoteza muda wako bure kumuelewesha huyo mataga . Mataga wote Ni zero iq
Uwezo wako wa kusoma post ya mtu word to word na kugrasp nini kinasemwa ni mdogo mno. Nadhani wewe ni miongoni mwa wale mazuzu wanaoitwa "taga" au "nyumbu" depending on which side mtu anataka kusimama.
 
ingependeza pia endapo ex-CAG angemalizia kwa kuonesha dira alizowaza
 
Mbona alichosema ni kingine na heading uliyoandika wewe ni nyingine? Si vyema kulisha watu maneno mdomoni
 
Ana hoja ya msingi sana hata kama huikubali

Amejenga hoja kwa facts sio hisia

Yeye na wenzake watatu 2014 kabla hajawa CAG alitengeneza Business Plan ya ATC wakagundua kwa mazingira yetu haiwezi kuwa viable project wakashauri Serikal isilifufue shirika …

kumbuka wakati huo Mihemko ya Wanasiasa wa Upinzan na wana harakati ilikuwa tufufue shirika letu la ndege lakin wao wali base kwny facts wakashauri kitaalam tuachane nalo

JPM alipoingia akaanzisha Mchakato wa kufufua shirika kwa fedha nyingi tena cash payment

Akaomba feasibility study yake aisome ashauri akanyimwa

Akanyimwa haki ya kukagua nyaraka muhimu

Baadae tunajulishwa Shirika limetengeneza big loss japo lilipewa mtaji wa bure… ungekuwa Wewe ungesema mfanya maamuzi haya ana nia njema kwa Taifa?
Sio kila kitu kwenye nchi lazima kiwe kinaleta faida, vitu vingine ni kwa ajili ya kutoa huduma. SA wanapata hasara miaka 11 mfululizo mbona hawajaacha shirika lao life.

Kenya Airways wanapata hasara kubwa kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, Rwanda airways wanapata hasara kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, list can go on and on and on.

Hoja za watu kuponda ATCL ni bullshit. Nonsense.

Aliponyimwa hizo nyaraka mbona hakujiuzuru, maana hapo alikua amezuiwa kufanya kazi yake ya msingi, mbona hakujiuzuru?

Binafsi namkubali Assad ila hii naona ni kinyongo tu cha kutimuliwa u CAG.
 
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Yeye mwenyewe miaka 5 na robo aliishi akisema wezake hovyo nahawakujitetea ,,nayeye acheni asemwe na abakie hivohivo bila kujitetea,hatakama prof alifanywa vibaya nje ya unalojua ,bygone kafanywa kibaya zaidi...akome
 
Sio kila kitu kwenye nchi lazima kiwe kinaleta faida, vitu vingine ni kwa ajili ya kutoa huduma. SA wanapata hasara miaka 11 mfululizo mbona hawajaacha shirika lao life.

Kenya Airways wanapata hasara kubwa kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, Rwanda airways wanapata hasara kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, list can go on and on and on.

Hoja za watu kuponda ATCL ni bullshit. Nonsense.

Aliponyimwa hizo nyaraka mbona hakujiuzuru, maana hapo alikua amezuiwa kufanya kazi yake ya msingi, mbona hakujiuzuru?

Binafsi namkubali Assad ila hii naona ni kinyongo tu cha kutimuliwa u CAG.
Huduma zipi hizo zinazotolewa na ATCL? hoja ya Loss ya ATCL sio ya Assad hiyo ni ya CAG kichere

Hoja ya Assad ni kwenda kwny project bila ya feasbility study tena ukijua kabisa kiwa business plan ishafanyika na wameshauri usifufue shirika, tena unafanya cash transaction ya kiwango hicho

Ukija kwny hizo loss unazotaja za South Africa airlines hiyo ni Financial loss, unajua Economic benefit ya hilo shirika? Sasa wewe tutajie Economic benefit ya ATCL ambayo wameanza kununua ndege kabla ya ujenzi wa viwanja vya ndege vya kutua na kufanya biashara hizo ndege!
 
Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.

View attachment 1749044

View attachment 1749045
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
 
Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Angeongelea wapi ilhali midomo yote iliwekewa plasta,.uhuru wa vyombo vya habari ulikuwepo kwamba angeenda kuongelea huko.!?? Wacha watu wafunguke tuu we ulitaka wakae kimya ili iwaje? Aliyeenda alishaenda zake na hila zake zote,..
 
Sawa nae akivunja bunge tukarudia uchaguzi itapendeza maana nae atavunja record kwa kuwa raisi mwezi mmoja.

Yeye ni raisi wa katiba, sio rais alochaguliwa na wananchi.
Wakati mnamshawishi avunje bunge mkumbushe na hili.
Hili nae analijuwa kuwa ikifika 2025 akapumzike tu maana hicho kimbembe hakiwezi bila nguvu ya jpm.
 
Ana hoja ya msingi sana hata kama huikubali

Amejenga hoja kwa facts sio hisia

Yeye na wenzake watatu 2014 kabla hajawa CAG alitengeneza Business Plan ya ATC wakagundua kwa mazingira yetu haiwezi kuwa viable project wakashauri Serikal isilifufue shirika …

kumbuka wakati huo Mihemko ya Wanasiasa wa Upinzan na wana harakati ilikuwa tufufue shirika letu la ndege lakin wao wali base kwny facts wakashauri kitaalam tuachane nalo

JPM alipoingia akaanzisha Mchakato wa kufufua shirika kwa fedha nyingi tena cash payment

Akaomba feasibility study yake aisome ashauri akanyimwa

Akanyimwa haki ya kukagua nyaraka muhimu

Baadae tunajulishwa Shirika limetengeneza big loss japo lilipewa mtaji wa bure… ungekuwa Wewe ungesema mfanya maamuzi haya ana nia njema kwa Taifa?
Dah hii nchi ina mambo watu walikuwa wananyamazishwa sasa mambo yote hadharani!

Cha ajabu kuna watu hawaamini hizi habari wao wanachojua ni JPM anachafuliwa.
 
Back
Top Bottom