Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Uwezo wako wa kusoma post ya mtu word to word na kugrasp nini kinasemwa ni mdogo mno. Nadhani wewe ni miongoni mwa wale mazuzu wanaoitwa "taga" au "nyumbu" depending on which side mtu anataka kusimama.Mkuu unapoteza muda wako bure kumuelewesha huyo mataga . Mataga wote Ni zero iq
Ku screen shot mawazo ya mataahira ukatuletea hapa unaonekana kabisa na wewe ni mojawapo ya mataahira.
Hahahahah, jamani, hata bomba la mfuta tena?NASHAURI WAACHANE NA KUSAIGNI MKTABA WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA KWANI MIRADI YOTE YA MAGUFURI HAIKUWA NA NIA NJEMA KWA NCHI
Sio kila kitu kwenye nchi lazima kiwe kinaleta faida, vitu vingine ni kwa ajili ya kutoa huduma. SA wanapata hasara miaka 11 mfululizo mbona hawajaacha shirika lao life.Ana hoja ya msingi sana hata kama huikubali
Amejenga hoja kwa facts sio hisia
Yeye na wenzake watatu 2014 kabla hajawa CAG alitengeneza Business Plan ya ATC wakagundua kwa mazingira yetu haiwezi kuwa viable project wakashauri Serikal isilifufue shirika …
kumbuka wakati huo Mihemko ya Wanasiasa wa Upinzan na wana harakati ilikuwa tufufue shirika letu la ndege lakin wao wali base kwny facts wakashauri kitaalam tuachane nalo
JPM alipoingia akaanzisha Mchakato wa kufufua shirika kwa fedha nyingi tena cash payment
Akaomba feasibility study yake aisome ashauri akanyimwa
Akanyimwa haki ya kukagua nyaraka muhimu
Baadae tunajulishwa Shirika limetengeneza big loss japo lilipewa mtaji wa bure… ungekuwa Wewe ungesema mfanya maamuzi haya ana nia njema kwa Taifa?
Yeye mwenyewe miaka 5 na robo aliishi akisema wezake hovyo nahawakujitetea ,,nayeye acheni asemwe na abakie hivohivo bila kujitetea,hatakama prof alifanywa vibaya nje ya unalojua ,bygone kafanywa kibaya zaidi...akomeHuenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Huduma zipi hizo zinazotolewa na ATCL? hoja ya Loss ya ATCL sio ya Assad hiyo ni ya CAG kichereSio kila kitu kwenye nchi lazima kiwe kinaleta faida, vitu vingine ni kwa ajili ya kutoa huduma. SA wanapata hasara miaka 11 mfululizo mbona hawajaacha shirika lao life.
Kenya Airways wanapata hasara kubwa kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, Rwanda airways wanapata hasara kila mwaka mbona hawajaacha shirika life, list can go on and on and on.
Hoja za watu kuponda ATCL ni bullshit. Nonsense.
Aliponyimwa hizo nyaraka mbona hakujiuzuru, maana hapo alikua amezuiwa kufanya kazi yake ya msingi, mbona hakujiuzuru?
Binafsi namkubali Assad ila hii naona ni kinyongo tu cha kutimuliwa u CAG.
Sasa hivi siwatukani MATAGA...CIG anawatosha.Ku screen shot mawazo ya mataahira ukatuletea hapa unaonekana kabisa na wewe ni mojawapo ya mataahira.
CIG ndio nani?Sasa hivi siwatukani MATAGA...CIG anawatosha.
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kamaKama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1749044
View attachment 1749045
Kwa hiyo kujifanya kwako una akili umeshindwa kuelewa kuwa ni makosa ya kiuandishi? Mataga bure kabisaCIG ndio nani?
Hukumbuki kuna kipindi alipoteaga???Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Angeongelea wapi ilhali midomo yote iliwekewa plasta,.uhuru wa vyombo vya habari ulikuwepo kwamba angeenda kuongelea huko.!?? Wacha watu wafunguke tuu we ulitaka wakae kimya ili iwaje? Aliyeenda alishaenda zake na hila zake zote,..Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Ulitaka apotee? [emoji848]Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Sawa nae akivunja bunge tukarudia uchaguzi itapendeza maana nae atavunja record kwa kuwa raisi mwezi mmoja.
Dah hii nchi ina mambo watu walikuwa wananyamazishwa sasa mambo yote hadharani!Ana hoja ya msingi sana hata kama huikubali
Amejenga hoja kwa facts sio hisia
Yeye na wenzake watatu 2014 kabla hajawa CAG alitengeneza Business Plan ya ATC wakagundua kwa mazingira yetu haiwezi kuwa viable project wakashauri Serikal isilifufue shirika …
kumbuka wakati huo Mihemko ya Wanasiasa wa Upinzan na wana harakati ilikuwa tufufue shirika letu la ndege lakin wao wali base kwny facts wakashauri kitaalam tuachane nalo
JPM alipoingia akaanzisha Mchakato wa kufufua shirika kwa fedha nyingi tena cash payment
Akaomba feasibility study yake aisome ashauri akanyimwa
Akanyimwa haki ya kukagua nyaraka muhimu
Baadae tunajulishwa Shirika limetengeneza big loss japo lilipewa mtaji wa bure… ungekuwa Wewe ungesema mfanya maamuzi haya ana nia njema kwa Taifa?
Mara ya ngapi tena.mbona unataka kumpa Mungu kazi ya ziadaMwendazake alikua ni mshipa kwa nchi hii. Alazwe panapomstahili