Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Achana na fala hilo... Kunuelewesha fala ni kupoteza nguvu zako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assad inatosha sasa mwanaume kuwa mtu wa visasi ivo haipendezi tena kwa marehemu ambae hawezi hata kukujibu kama ulikuwa Unania ya kukosoa ungesema wakati yu ngali hai ili upambane nae ila kwa sasa tunakuona mnafiki tu, Tena nashauri mama akuweke kando tu mana unaonesha kujua kila kitu kitu ambacho ni kibaya kwa kiongozi, TUMEKUCHOKA
 
Mpumbafu huyu aache CAG wasasa afanye kazi anayapoteza ya nwenzie anaanza kuleta yakwake yamwaka 47
 
Asad na type ya wanakosoa kila kitu cha mwendezake ni Njaa kali wanazo , huyu mzee inaonesha anataka kuridi kwenye regime ya mama tena kwa top position, Tunamshauri mama aendelee kumuacha nje ya ulingo wa kisiasa
 
Kama ana kisasi cha kufukuzwa kazi aseme tu, ukiachana na Ndege, bwawa la umeme, na sgr... Utawala wa Magufuli ulijenga zahanati na vituo vingi vya afya kuliko idadi ya vilivyokuepo toka tumepata uhuru. Magufuli alitoa elimu bure toka primary mpaka secondary, pia idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ilikua kubwa than ever before...

Assad atuambie utawala wa awamu ipi ulikua na dira anayoiona yeye? Hata kama wanatumwa hii ni too much hata sie tusiosoma tunaanza kushtuka.
 
Angeuliwa familia yake ungeihudumia wewe?
 
Kuliko kufuata ushauri wa profesa wa Tanzania ni bora ukafuate ushauri wa darasa la saba Kishimba utafanikiwa.


Maprofesa muda wote ni theory tu, sasa watu hawali theory
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Kwa kweli Kishimba ni nouma , namkubali humo bungeni.

Lakini Assad alikuwa sahihi . Sema mwendazake alipendelea upande wa sifa nzuri na si negative kwake

Odhis *
 
Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Uliona Lissu alivyo jamba jamba alijibiwaje…..sio kwa mdomo ni Shaba, sasa profesa kama yule afanye ujinga unaozungumzia.
 
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu..

au nadanganya ndgu zangu?
 
Huna hata mtoto, ungekuwa naye basi kagua madaftari yake uone hiyo elimu bure mwanao anayoipata ndipo ulie na kusaga meno.
 
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Labda alipimwa Covid-19 kwa kutumia kile kipimo cha China. You never know buana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…