Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Magofool alikuwa ni shetani tena muuaji.

Lwajabe walimteka wakamuachia akawaambia kwanini mmemuacha nendeni mkammalize.

Halafu alikuwa haachi kumtaja mungu wake mdomoni.
 
NASHAURI WAACHANE NA KUSAIGNI MKTABA WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA KWANI MIRADI YOTE YA MAGUFURI HAIKUWA NA NIA NJEMA KWA NCHI
Mkataba umepitiwa upya baada ya Magofool kufa.

Unajua kwanini mchakato ulikwama?
 
 
....wote cowards hawa, hawakuweza sema haya enzi za jpm akiwa hai.
 
Kutokana na Magufuli kututoka ghafla na Utawala kuingia mwingine yaani Raisi Samia Suluhu Hassan kwa nini sasa Nyaraka za Sgr Stigllers gorge zisiwekwe hadharani ili Wananchi tujiridhishe
 
hupendi kufikiria
 
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
kumstaafisha kabla ya muda wake kwisha ni suala dogo!? Ulitaka amfunge au amtumie wasiojulikana ndio awe na kinyongo!?
 
Kwamba wewe ulichagua kusikia na sio kuona?

Na wewe huoni mradi hata mmoja wenye manufaa na tija kea taifa?

Mfano; Huoni hospitals ?, huoni Hata fly over Dar zilivyoopunguza foleni? Huoni Hata kuongezeka kwa mapato? Huoni Hata unjenzi na ukarabati wa mashule? Huoni Hata kuongezeka kwa Mikopo ya wanafunzi? Huoni Hata watoto kusoma bure? Huoni Hata usalama wa nchi , yaani watu wanasafiri masaa 24 bila hofu? Huoni ufanisi Bandari kupanuliwa na kuongeza kiasi Cha mizigo? Huoni Umeme kila kona ya nchi? Huoni Maji? Huoni ? Huoni?

Umechagua kusimuliwa na wabaya wa hayati JPM? Kazi ni kwako

Vuta subira utakuja kusema badae.
 
Ndio maana akafukuzwa Kazi huyu mzee hakua mtu mzuri kama watu wanavyomsifia.
 
Yeye katoa maoni yake kwa upande wake, wewe toa maoni kwa upande wako, ndio Uhuru wa maoni, kila mtu ajisemee
 
Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki

Wewe naona ulikua unapakia tumbo maharage wakati anasema ofisi ya Magu imekula 1.5 tirioni Magu akahangaika huku na huku kutafuta mashahidi ktk vikao wewe ulikua wapi ? hicho ni chuma cha kimataifa dogo wewe sikiliza mayayi anayotema utafifikiri sio mzt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…