Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Was critical in similar intensity even brfore the death of John
 
Kiwango changu cha elimu hukijui

Ni rahisi sana kuelewa kiwangu cha elimu ya mtu pindi anapofungua mdomo kuchangia mambo muhimu hoja zake zinatafsiri elimu yake.
Ungekaakimya kisingejulikana kiwango chako cha elimu
 
Sijui kuhusu hayo mengine ila SAMIA, NDUGAI, MAJALIWA, TULIA hawakuchaguliwa na Magufuli....aliwahi kusema Makamu wake angekuwa Mwinyi.

Mchakato wa kumpitisha chamani, mama Samia alipitishwa baada ya yule mwingine kusema anamsapoti Edward.

Marehemu Mkapa alisimama kidete kuhakikisha Majaliwa anapita jimbo kwake.

Mpango, Ndalichako, Ummy, Posi, Kijazi, n.k ndio tunaweza sema ni mkono wa Jiwe halisi.
 
Kifupi hayo ndio matokeo ya kubana uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Waache watu watoe ya moyoni ili nyongo zao zisafishike. Watu wana mengi.
 
Ni rahisi sana kuelewa kiwangu cha elimu ya mtu pindi anapofungua mdomo kuchangia mambo muhimu hoja zake zinatafsiri elimu yake.
Ungekaakimya kisingejulikana kiwango chako cha elimu
Hujui kitu my fake name reflect my comments..
pole sana kwa kutapeliwa.....
keep your struggles elsewhere...
 
Yeye katoa maoni yake kwa upande wake, wewe toa maoni kwa upande wako, ndio Uhuru wa maoni, kila mtu ajisemee

Acha kujichanganya mkuu,wewe umesapoti madai yake kuwa Hayati hakuwa na nia njema na Taifa hili kwa ku HIGHLIGHT ishu ya ATCL,ndio nikakuuliza kwamba hakuwa na nia njema kwa ku base na ishu ya Shirika la ndege tu?
Sasa hivi unasema ametoa maoni yake ili hali mwanzoni ulisema katoa 'facts'... so which is which?...maana maoni si lazima yawe facts!!
 
umeandika kwa hisia sana
 
Alishawahi hojiwa na Magufuli, mara baada ya kutoa report yake na kuonyesha upotevu wa fedha, kama kuna huo upotevu, aliikana report yake huyu. Mpaka Zitto alisimama kidete kuwa Yeye anaweza kuonyesha kwenye report ya CAG. Leo anabwabwaja tu, kisa Magu hayupo. Mnafiki tu huyu. Angesimamia msimamo wake kipindi kile tungemuelewa leo ni mnafiki kama wanafiki wengine tu.
 
Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.

View attachment 1749044

View attachment 1749045
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ngege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliuwe shirika la ndege ili kukwepa madeni mburura kabisa huyu, dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi popoma kabisa huyu huoni ndani ya 5 tumeingua uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kumbwa huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao! Ni upumbafu wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mty anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake kwa ufinyu wa ajili yake Assad eti anataka bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa disi hatuwezi kujenga wenyewe! Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa lizee lizima linalikosa hata hekima tu ya kizee linakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe...hivi huyo Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu ni finyu sana, na kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari disi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni! Shame on you Assad!
Nimegundua unamtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata haustahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu ambapo upuuzi wote huongelewa hapo!
 
Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.

View attachment 1749044

View attachment 1749045
Unajua dhida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ngege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliuwe shirika la ndege ili kukwepa madeni mburura kabisa huyu, dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi popoma kabisa huyu huoni ndani ya 5 tymeingua uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kumbwa huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao! Ni upumbafu wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mty anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake kwa ufinyu wa ajili yake Assad eti anataka bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa disi hatuwezi kujenga wenyewe! Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa lizee lizima linalikosa hata hekima tu ya kizee linakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe...hivi huyo Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu ni finyu sana, na kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari disi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni! Shame on you Assad!
Nimegundua unamtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata haustahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu ambapo upuuzi wote huongelewa hapo!
 
Ur still a learner. Hujitambui
 
Lissu alikuwa akiitwa Kichaa Naona kundi la vichaa linaongezeka Mama Samia, Kigwa, Ndugai, Muhongo na SASA Assad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…