Tetesi: Prof Azaveli Lwaitama unahatarisha sana Mustakabali wako, nini shida mzee?

Usalama wa Taifa umemwachia Musiba kazi ya Kuchambana na waja
 
Mzee wa povu buana! Yuko sahihi
 
Uchochezi gani kafanya, Kwani anasema uongo?
 
Kafie mbali huko shetani we
 
Watanzania nani amewatia upumbavu. Mtu kama huyu badala ya kumtia moyo unakuja hapa kumkatisha tamaa. Wewe na uzi wako wote waPumbavuuu
Wanaccm wengi wanapenda watu wanaolamba miguu viongozi kama anavyofanya musiba. ukisema ukweli unaitwa sio mzalendo na unamkwamisha jiwe
 
Yaani CCM hamna wema, Leo mnamsimanga mtu mliedai kauona mwanga!!?? Na kwa maneno yako haya kumbe ni kwelil kuwa huwa mnahonga watu ili wawaunge mkono!
Daima matendo ya mnafiki yako tofauti na maneno yake.
 
Kwahiyo unataka wamkamate akawasaidie kazi! Okay, mhusika amekusikia nawe utapata udc.
 
Wewe ni Lipumbavu la kwanza Duniani. Mleta mada kasema Usalama wa Taifa wa Mlinde. Wewe unakuja kuandika uharo wako hapa. Nyie ina maana hata kiswahili hamwelewi? Mnakuwa na mihemko tu siku zote.

Watanzania nani amewatia upumbavu. Mtu kama huyu badala ya kumtia moyo unakuja hapa kumkatisha tamaa. Wewe na uzi wako wote waPumbavuuu
 
Ni BUNSEN BURNER kale kakibatali ka gesi maabara.
 
Dingi anaongeana conscious sana sio sawa na Benson Bana..
 
ndugu, kusema ukweli ni ukakasi? ukakasi kwa nani.....kwako?
 
Ili iweje? Kutafuta kiki ni kusema ama kufanya kitu kiuongo uongo ama kilaghai ili upate sifa. Kwenye maelezo ya Lwaitama kipi cha uongo?
Nashaangaa kwa sasbabu aliyosema ni maneno ya kawaida na ya ukeli wa kichambuzi
 
Mimi sioni tatizo la matamshi ya Profesa Lwaitama
Huyu Profesa hatafuti kick,ni kawaida yake mara nyingi kusema kile kilicho moyoni mwake.
Yawezeka kwa sababu ya msimamo wake ndio sababu ya kutosongezwa karibu na "Meza ya Bwana"
Lakini mitizamo yake isio na chenga itampeleka pabaya sana kwa tawala ya sasa,sio enzi za Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…