Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Anaitumia elimu yake vizuri siyo kama wale wasaka tonge
Kwa watu msiomfahamu Mwalimu Lwaitama ndio mtaona hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watu msiomfahamu Mwalimu Lwaitama ndio mtaona hivyo.
Hili taifa limejaa mburula wengi haswa!
Embu tuuleze hayo maneno uliyosikia yanayotia ukakasi kwa usalama wa taifa.
Nmekuwa nikimsikiliza sana huyu msomi ambaye huongea anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Najiuliza anajiamini nini? Kwa nini ameamua kuchagua fungu hilo?
Maneno ambayo huongea ni makali sana na yanaweza kuwa yanachoma.anataka kukimbia.swali. je ameagana na nyonga?
Haya maneno... Si ya kuyapuuza. Usalama wa taifa ...mmeyasikia maneno yake kwa umakini kabisa? Mmeyasikia yalivyo na ukakasi?yanavyochoma? Mmemsikia?
Haya. Mumlinde. Kuna mijitu mipumbavu inaweza taka kumdhuru.
Wale wazee wangekua na mawazo kama yako mpaka leo tungekua bado ni koloni.
Kitendo cha wewe kuandika ulivoandika ...Moja kwa Moja inaashiria ww ni ama mnafiki au muoga pia .....
Mleta mada ndiwe mwenye shida kichwani, kwani anachokisema si kweli tupu?
We mj-- kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] unasema alisahau kuwaaga wanafunzi wakeHahahaa...... Umenikumbusha Prof Kitila alivyoponda teuzi za maprofesa wa Udsm lakini siku aliyoteuliwa yeye alisahau hata kuwaaga wanafunzi wake......!