TANZIA Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) afariki Dunia

TANZIA Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) afariki Dunia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Taarifa iliyotolewa ni kwamba Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) Afariki Dunia.

Alazwe mahali pema peponi.

IMG-20201220-WA0047.jpg
 
Poleni wafiwa wote. Imeandikwa: "mshukuruni Mungu kwa kila jambo".

YESU NI BWANA NA MWOKOZI,

Haleluya!
 
Tunaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti, kama ndivyo sijui kwa nini Mwenyezi Mungu anawachukua watu ambao ni harmless na kuwaacha watesaji na wauaji wa CCM!

My Professor, I am a hundred percent sure that you have your place in heaven kwa kuwa ulikuwa mcha Mungu. May your soul rest in peace, Amen!
 
Back
Top Bottom