TANZIA Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) afariki Dunia

Poleni wafiwa wote. Imeandikwa: "mshukuruni Mungu kwa kila jambo".

YESU NI BWANA NA MWOKOZI,

Haleluya!
 
Tunaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti, kama ndivyo sijui kwa nini Mwenyezi Mungu anawachukua watu ambao ni harmless na kuwaacha watesaji na wauaji wa CCM!

My Professor, I am a hundred percent sure that you have your place in heaven kwa kuwa ulikuwa mcha Mungu. May your soul rest in peace, Amen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…