TANZIA Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) afariki Dunia

Corona ingekuwa inaua mmoja mmoja Kama hivi.sidhani Kama dunia ingekuwa inaogopa Corona Ila SIVYO unavyodhani.corona inaondoa makumi na maelfu kwa kipindi kifupi
Corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine
 
Ujerumani na uingereza na marekani nao wasemeje?
USIOMBE KITU AMBACHO HAUNA UWEZO WA KUKIKABILI.
Maombi yanashida gani Mkuu kama yaliweza kuwa msaada hatua ya kwanza? Au ndio mpaka aseme namba moja kuhusu maombi ndio ataeleweka? WACHA UOGA
 
Kama maombi yanasaidia yangewasaidia na wengine.
Kwani marekani na ulaya wao hawayaoni hayo maombi?si waombe nao wapone?
Maombi yanashida gani Mkuu kama yaliweza kuwa msaada hatua ya kwanza? Au ndio mpaka aseme namba moja kuhusu maombi ndio ataeleweka? WACHA UOGA
 
TANZIA zimekuwa nyingi mwezi huu, turudishe maombi ya siku tatu?
zimekuwa nyingi kwakuwa ameamua kuziandika tu ila kumbuka hizo Tanzia zipo huko Ushuani tu huku kwetu mambo ni shwari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…