Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
Kipindi hicho umri wa baregu ulikuwa miaka mingapi? What I know he was past the statutory retirement age.Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri, sijui wanachama wa siri ni kina nani?
Ile sheria inayokataza watumishi wa umma wasiwe wanasiasa kumbe ipo na inafanya kazi kwa wale watumishi ambao wanaunga mkono vyama vya upinzani tu?
Ubaguzi huu hadi lini?
profesa safar alifukuzwa chuo cha diplomsia. orodha ni ndefu. itoshe tu kusema uonevu huu una meishoVp Prof Safari?
pesa haiwezi kununua furaha mkuu. chenge pale alipo hana furaha japo ana pesa.Mkuu watzanaia wote ni CCM by default. Hata wewe ni ccm pia siku ukipewa cheo sehemu utaabaki kimya huku ukila kuku kwa mrija.
Nirudi Kwa Baregu na Bashiru.
Baregu kama mwajiriwa alikuwa ameingia kwenye mlengo kizani na mwajiri.. Ulitegemea aachwe?
Basiru alikuwa bega kwa bega na mwajili unategemea atimuliwe?
Acheni kupotosha.
Baregu aliondolewa Mlimani baada ya kubainika kuwa ni mjumbe wa Kamati kuu Chadema. Sio kwa muwa mwanachama wa siri wala wa wazi.
Kitila mkumbo alinusurika kuondolewa baada ya kubainika ni kiongozi ACT lakini aliyakana amajukumu yake ndani ya ACT na badala yake alibaki kuwa mwanachama wabkawaida na mwalimu wa chuo kikuu cha umma.
Bashiru alikuwa mwanaCCM lakini hakuwa kiongozi.
Kinacholeta shida ni pale unakuwa kiongozi sio mwanachama wa kawaida
Yule ni kama Prof J wa mitulinga!Vp Prof Safari?
Prof. Baregu alikuwa anafanya kazi kwa mkataba, ulipoisha hakuongzewa na si kwa sababu za kisiasaAcheni kupotosha.
Baregu aliondolewa Mlimani baada ya kubainika kuwa ni mjumbe wa Kamati kuu Chadema. Sio kwa muwa mwanachama wa siri wala wa wazi.
Kitila mkumbo alinusurika kuondolewa baada ya kubainika ni kiongozi ACT lakini aliyakana amajukumu yake ndani ya ACT na badala yake alibaki kuwa mwanachama wabkawaida na mwalimu wa chuo kikuu cha umma.
Bashiru alikuwa mwanaCCM lakini hakuwa kiongozi.
Kinacholeta shida ni pale unakuwa kiongozi sio mwanachama wa kawaida
Prof Baregu alishastaafu na akapewa mkataba wa miaka miwili ilipoisha alipotaka kuhuisha wakamwambia Imetosha!utajaza vitabu na vitabu kuutafuta na kuuchora huo mstari hutaweza. ishu ni kwamba unatakiwa uwe mwana ccm tu. huku halmashaur kuna watu ni viongozi kabisa wa ccm hawafanywi lolote japo inajulikana wakati ukikutwa hata na lesso yenye bendera ya chama kingine ni mtihani mkubwa. kitila ni mtu wao. Kwani alipokuwa mjumbe wa kamati kuu CDM Alifukuzwa chuo?
Kwani nyinyi wanachadema mna furaha na Mbowe?pesa haiwezi kununua furaha mkuu. chenge pale alipo hana furaha japo ana pesa.
Hakufukuzwa bali makataba wake uliishaprofesa safar alifukuzwa chuo cha diplomsia. orodha ni ndefu. itoshe tu kusema uonevu huu una meisho
walikuwa hamuhitaji?Hakufukuzwa bali makataba wake uliisha
Labda kuna wanachama wa wazi na siri kwenye katiba ya CCMMiaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri, sijui wanachama wa siri ni kina nani?
Ile sheria inayokataza watumishi wa umma wasiwe wanasiasa kumbe ipo na inafanya kazi kwa wale watumishi ambao wanaunga mkono vyama vya upinzani tu?
Ubaguzi huu hadi lini?
Alianza kuwa mvivu baada ya muda wake mwingi kushughulika na siasawalikuwa hamuhitaji?