Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM

Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM

tofauti ya kuwa passive vs active pilitics
Active-you participate directly in party politics,kunadi wagombea,kuhudhuria vikao vya chama,discussion of party politics na labda hata kugombea political posts!
Passive-Una kadi yako ya chama,unatoa michango yote, lakini mambo mengine ya chama hayakuhusu,una concentrate kwenye ajira yako.
 
Mkuu watzanaia wote ni CCM by default. Hata wewe ni ccm pia siku ukipewa cheo sehemu utaabaki kimya huku ukila kuku kwa mrija.

Nirudi Kwa Baregu na Bashiru.

Baregu kama mwajiriwa alikuwa ameingia kwenye mlengo kizani na mwajiri.. Ulitegemea aachwe?
Basiru alikuwa bega kwa bega na mwajili unategemea atimuliwe?

Safi sana mkuu, watanzania wote ni wanachama wa SIRI wa chama pendwa. Siku wakikuchunuku kadi unapewa ya 1972 wakati mimba yako inatungwa au haijatungwa. Ikibidi hata ya TANU utapewa bils issue yeyote bora uchape kazi iliyokusudiwa.
Yes nchi poa sana hiii jamani tuipende sanam😵😵🙂🙂🙂🙂
 
Labd

Labda kuna wanachama wa wazi na siri kwenye katiba ya CCM
Jiulize masolders ambao hawatakiwi kuwa wanachama wa chama chochote kile cha siasa inakuwahe wanapata ulaji wa kisiasa bila kokolo tena wengine wakiwa bado ndani ya Army?????
 
Hivi inakuaje unang'ng'ania sehemu usiyopendwa
 
Prof. Baregu alikuwa anafanya kazi kwa mkataba, ulipoisha hakuongzewa na si kwa sababu za kisiasa
Mkuu hapana. Hakuongezewa mkataba kwa sababu ya siasa na ilielezwa bayana kabisa achague siasa au ualimu. Yeye akachagua siasa na ualimu private kule SAUT. Ni kweli alikuwa kwa kwa mkataba
 
Mkuu
Mkuu ccm wanajifanya kuwa wana hati miliki ya nchi hii. Ngoja ifike siku niwe rais wa nchi hii! Maji watatamka mma.
,usemayo si kweli,Prof.Baregu,alifika muda wa kustaafu,aliongezwa miaka miwili zaidi,baada ya kuustaafu kwake,hivyo sio kweli kwamba alifukuzwa muda uliongea.
DrMvungi alikuwa dean wa kitengo cha sheria pale Udsm,na alikuwa nccr mageuzi,baadae aligombea urais kwa tiketi ya nccr magauzi,mpaka umauti unamkuta alikuwa bado lecturer na dean wa sheria.
Sasa kwa mfano huo tu,huo umilikaji wa nchi uko wapi?
 
Mkuu

,usemayo si kweli,Prof.Baregu,alifika muda wa kustaafu,aliongezwa miaka miwili zaidi,baada ya kuustaafu kwake,hivyo sio kweli kwamba alifukuzwa muda uliongea.
DrMvungi alikuwa dean wa kitengo cha sheria pale Udsm,na alikuwa nccr mageuzi,baadae aligombea urais kwa tiketi ya nccr magauzi,mpaka umauti unamkuta alikuwa bado lecturer na dean wa sheria.
Sasa kwa mfano huo tu,huo umilikaji wa nchi uko wapi?
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu.
 
Wacha urongo, prof Baregu alistaafu akawa ana ganga njaa pale SAUT.
 
Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri, sijui wanachama wa siri ni kina nani?

Ile sheria inayokataza watumishi wa umma wasiwe wanasiasa kumbe ipo na inafanya kazi kwa wale watumishi ambao wanaunga mkono vyama vya upinzani tu?

Ubaguzi huu hadi lini?
Profesa mbobezi
 
Profesa mbobezi
Tanzania has lost one of her best brains. Professor Baregu was one of the most respected academicians, yeye, Lipumba na Ambassador Condoleeza Rice ni alumni wa Stanford University, one of the topnotch schools in the world. Sikumbuki kama "alionewa", ingawa ni kweli kwamba alijibainisha zaidi na CHDEMA hadi watu wakapinga asiingie Tume ya Warioba kwa vile he was already mwenyekiti or something like that kwenye Kamati Kuu ya CHADEMA, an obvious political hack. Umemtaja Bashiru Ali, unamuonea tu, alipotangazwa awe katibu mkuu wa ccm wengi walidhani it was a spelling mistake: hatukuwa na hata chembe au harufu ya CCM. Kama angeingia mtu say Professor Issa "Karl" Shivji, tungeelewa anamfuata Marxist mwenzie Kingunge wakamshambulie Hegel na Enver Hoxha - juzi alisema serkali ya Magufuli ni neoliberalism, whatever that means.To be quite honest, watu walishangaa kumuona Dr Baregu CHADEMA kwa sababu he was the exact opposite of the average CHADEMAman - he was not introverted, hakuwa na ukabila (ajabu sana kwa Mhaya, hata walau kujigamba nshomile!), hakuwa mbinafsi kuwatumia vitimaalum), he was never an activist hata wakati kina Shivji wakiwa over-TYL. What did he see in CHADEMA? I doubt if CHADEMA will say anything or do an obituary about him, nor fly the flag at half mast kuomboleza: they are so indifferent if you are not mwenzao - mnakumbuka maafa ya Ujerewe wakajizengua hadi maskini Mbunge wao ikabidi akahamia CCM waliomsaidia kulia?
 
Acheni kupotosha.

Baregu aliondolewa Mlimani baada ya kubainika kuwa ni mjumbe wa Kamati kuu Chadema. Sio kwa muwa mwanachama wa siri wala wa wazi.

Kitila mkumbo alinusurika kuondolewa baada ya kubainika ni kiongozi ACT lakini aliyakana amajukumu yake ndani ya ACT na badala yake alibaki kuwa mwanachama wabkawaida na mwalimu wa chuo kikuu cha umma.

Bashiru alikuwa mwanaCCM lakini hakuwa kiongozi.

Kinacholeta shida ni pale unakuwa kiongozi sio mwanachama wa kawaida
Wote mnapotosha. Prof Baregu alistaafu akiwa na miaka 55 mwaka 1998. Hiyo ni kwa sababu yeye alikuwa katika scheme ya PPF kwa kuwa alijiunga kuwa Lecturer 1977 wakati UDSM ikiwa katika mfumo huo. Angejiunga kabla kama akina Mukandala angekuwa katika mfumo wa SSSS ambao kustaafu kwake kulikuwa miaka 60. Miezi kadhaa baadaye sheria ilipitishwa kuwa walimu wote wa vyuo vikuu wastaafu kwa lazima wakiwa na miaka 60 (sasa imekuwa 65). 1998-2002 Prof Baregu alitafiti na kufundisha SAPES, Harare. Hata hivyo Baregu alirudi kufundisha UDSM kwa mkataba miaka ya 2002-2009 kabla ya kupata mkataba wa SAUT. Mengine yote ni porojo tu
 
Back
Top Bottom