Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM

Prof Mwesiga Baregu amestaafu na akalipwa Mafao yake yote
Baada ya kustaafu Na kulipwa stahiki zake zote akapewa Tena ajira ya Mkataba kutokana na uhaba wa Wahadhiri Kwa Muda Fulani Na baadae ndio Mkataba ule ulipoisha hakupewa Mwingine

Prof Kitila Mkumbo aliendelea Na ajira yake Kama kawaida japo alikuwa Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Na baadae ACT
 
asnte kwa ufafanuzi ndugu pohambba.. umejibu kwa ufafanuzi vizuri sana. kwamba hata uwe radical vipi ukiwa ccm sawa tuu.
Prof Mwesiga Baregu amestaafu na akalipwa Mafao yake yote
Baada ya kustaafu Na kulipwa stahiki zake zote akapewa Tena ajira ya Mkataba kutokana na uhaba wa Wahadhiri Kwa Muda Fulani Na baadae ndio Mkataba ule ulipoisha hakupewa Mwingine

Prof Kitila Mkumbo aliendelea Na ajira yake Kama kawaida japo alikuwa Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Na baadae ACT
 
shetani humtambua shetani mwenzao hata kama huyo shetani atakuwa amejibadilisha na kuwa binti mzuriii.
 
utajaza vitabu na vitabu kuutafuta na kuuchora huo mstari hutaweza. ishu ni kwamba unatakiwa uwe mwana ccm tu. huku halmashaur kuna watu ni viongozi kabisa wa ccm hawafanywi lolote japo inajulikana wakati ukikutwa hata na lesso yenye bendera ya chama kingine ni mtihani mkubwa. kitila ni mtu wao. Kwani alipokuwa mjumbe wa kamati kuu CDM Alifukuzwa chuo?
Ukweli mchungu!! Ni kweli kitila mkumbo alikuwa mjumbe wa kamati kuu chadema lakini hakuwahi kufukuzwa kazi. Pia alikuwa mshauri wa ACT hakufukuzwa kazi. Hoja kuwa alinusurika kufukuzwa akiwa ACT haina ukweli kwani yeye alijiuzuru kuwa mwanachama wa kawaida kisha baadaye kuhamia çcm rasmi ni baada ya kuteuliwa kuwa Katibu wa wizara ya maji.
Kiuchunguzi yawezekana siku zote akiwa na nyazifa ndani ya upinzani lakini alikuwa akitumika upande wa ccm hivyo kutofukuzwa kazi.
Ukichunguza unakuta yeye ndie aliesaidia kumpa ushauri Zitto kutengana na chadema kwa maslahi ya kudhoofisha upinzani.ku
 
Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri, sijui wanachama wa siri ni kina nani?

Ile sheria inayokataza watumishi wa umma wasiwe wanasiasa kumbe ipo na inafanya kazi kwa wale watumishi ambao wanaunga mkono vyama vya upinzani tu?

Ubaguzi huu hadi lini?
Mbona umemuacha Kitila Mkumbo? Hata hivyo Bashiru anawajibika kurudisha mshahara aliolipwa alipokuwa akifanya kazi ya kukagua mali za CCM.
 
Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri, sijui wanachama wa siri ni kina nani?

Ile sheria inayokataza watumishi wa umma wasiwe wanasiasa kumbe ipo na inafanya kazi kwa wale watumishi ambao wanaunga mkono vyama vya upinzani tu?

Ubaguzi huu hadi lini?
Mm,huo usiri wa nini?Mkuu hata kama ni mfanyakazi wa serikali unaruhusiwa kuwa mwanachama wa CCM au chama cho chote,bora tu usiwe active in politics.Mimi ujana wangu wote nimeumalizia CCM, pamoja na kuwa mfanyakazi wa serikali.
 
tofauti ya kuwa passive vs active pilitics
 
Ukweli mchungu!! Ni kweli kitila mkumbo alikuwa mjumbe wa kamati kuu chadema lakini hakuwahi kufukuzwa kazi. Pia alikuwa mshauri wa ACT hakufukuzwa kazi. Hoja kuwa alinusurika kufukuzwa akiwa ACT haina ukweli kwani yeye alijiuzuru kuwa mwanachama wa kawaida kisha baadaye kuhamia çcm rasmi ni baada ya kuteuliwa kuwa Katibu wa wizara ya maji.
Kiuchunguzi yawezekana siku zote akiwa na nyazifa ndani ya upinzani lakini alikuwa akitumika upande wa ccm hivyo kutofukuzwa kazi.
Ukichunguza unakuta yeye ndie aliesaidia kumpa ushauri Zitto kutengana na chadema kwa maslahi ya kudhoofisha upinzani.ku
kweli mkuu. kitila alikuwa mtumishi aliyekuwa anaitumikia ccm kimya kimya. mfano akiwa kwenye nafasi ya juu ndani ya chadema cku moja alisikika pale viwanja vya TBC kijitonyama akisema " mimi kama kitila mkumbo, bado nina imani na CCM"
 
baregu hakufukzwa, muda wake wa utumishi wa umma ulimalizika
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote

Mungu Ndiye Ahukumuye Humdhili Huyu Na Kumwinua Yule
Naliwaambia Waliojivuna Msijuvune
 
baregu hakufukzwa, muda wake wa utumishi wa umma ulimalizika
Ni kweli alimaliza contract aliyokuwa kapewa baada ya kustaafu.Sasa watu walitaka aendelee tu!!!!! Kana kwamba yeye aliumbwa kuwa àwe professor wa maisha Kama Kim Jong Un mbowe kiongozi wa jamhuri ya kidemokrasia ya chadema
 
Back
Top Bottom