Elections 2015 Prof. Benson Bana: Dk. Slaa ndiye pekee anayeweza kuitetemesha CCM

Elections 2015 Prof. Benson Bana: Dk. Slaa ndiye pekee anayeweza kuitetemesha CCM

Ni hatari kuona mtu anakusifia tu,jua huyo anakudidimiza,kumsifia Bana kisa kamsifia Slaa ni kitu cha kujiuliza sana,mbona huwa mnamponda kila siku?

Anamaanisha kila wakati amekuwa akitumika na CCM lakini leo ameamua kuchanganya na zake
 
Bana nae akili ameshikiwa........mbendembende huyu. utafiti au bila utafiti....Tutawachapa tu.
 
Wataiba kura!! Wala hawatahangaika! CCM Janga!!
Mkuu SOLOMO, umeshajiandikisha kupiga kura! Kama bado kajiandikishe kwanza then katika kura zitakazoibiwa na yako iwemo ili wezi wahukumiwe kwa dhambi ya kuiba.
Muhimu: Ukishajiandikisha utaelekezwa ni jinsi gani ya kupiga kura, ukishapiga kura utaelekezwa ni jinsi gani ya kuilinda.
 
Kuna watu wakiongea si wa kuwasikiliza hata kidogo kama Bana
SINA IMANI NA UKAWA
 
Back
Top Bottom