Ni hatari kuona mtu anakusifia tu,jua huyo anakudidimiza,kumsifia Bana kisa kamsifia Slaa ni kitu cha kujiuliza sana,mbona huwa mnamponda kila siku?
Wakati umebadilika,sidhani kama kuna mwananchi atakubali ujinga huo!
Mkuu SOLOMO, umeshajiandikisha kupiga kura! Kama bado kajiandikishe kwanza then katika kura zitakazoibiwa na yako iwemo ili wezi wahukumiwe kwa dhambi ya kuiba.Wataiba kura!! Wala hawatahangaika! CCM Janga!!