Prof. Deogratus Kisandu Aka Civilian Coin anaongea kwa Code kali sana. Kama huna F mbili huwezi mwelewa

Huyu jamaa nakumbuka alitaka-ga kumwoa mtoto wa Obama. Nadhani ni CIA au FBI ndo walimfanyia mtima nyongo. Sasa kuna pesa kama Bilion 2 alitumiwa watu wamepita nazo na pia 80 million yake wamegawana watu wakubwa sana nchini pamoja na wakuu wa shule wote nchini.

Kuna Wachaga na Makanisa yamegawana hiyo pesa. Kumwelewa Civilian Coin ni mpaka uwe na angalau FF zisizopungua mbili. Jamaa ni kichwa sana. Anaongea kwa code nami leo hii nambatiza jina la Prof Deogratias Nalimi Kisandu au Prof Civilian Coin.
Billion mbili ninazozijua mimi, au billion mbili za kuigizia tamthilia?

Kuna Dk Shika mwingine kaibuka upyaaa!
 
Huyu jamaa nakumbuka alitaka-ga kumwoa mtoto wa Obama. Nadhani ni CIA au FBI ndo walimfanyia mtima nyongo. Sasa kuna pesa kama Bilion 2 alitumiwa watu wamepita nazo na pia 80 million yake wamegawana watu wakubwa sana nchini pamoja na wakuu wa shule wote nchini.

Kuna Wachaga na Makanisa yamegawana hiyo pesa. Kumwelewa Civilian Coin ni mpaka uwe na angalau FF zisizopungua mbili. Jamaa ni kichwa sana. Anaongea kwa code nami leo hii nambatiza jina la Prof Deogratias Nalimi Kisandu au Prof Civilian Coin.
Au ni zile hela za Hayati Dr Shika?
 
Back
Top Bottom