Waheshimiwa wana Kagera NASIKITIKA kuwajuza Leo hii tumepata pigo zito kuondokewa na Msomi, mpenda maendeleo na Mbunifu Profesa Dr. Erasmus Kaijage (PhD Sheffield) Muda haitoshi kuelezea CV yake. Naambatanisha Kwa marejeo (reference).
Binafsi Prof Kaijage, E. (PhD) alikua External examiner wa thesis yangu ya PhD.
Nitamkumbuka daima.
Poleni wana-Kagera.
NB: Taarifa zaidi tutazidi kutaarifiana zaidi.
Binafsi Prof Kaijage, E. (PhD) alikua External examiner wa thesis yangu ya PhD.
Nitamkumbuka daima.
Poleni wana-Kagera.
NB: Taarifa zaidi tutazidi kutaarifiana zaidi.