Hukuwa na haja ya kuandika hayo uliyoaandika. Kama unajua amefariki ghafla au usingizini basi ungenifahamisha hivyo badala ya kuandika uliyoyaandika. Umauti huwafika binadamu kwa njia mbali mbali na siyo mpaka wawe wagonjwa, niliuliza ili kutaka kujua tu nini kilichomsibu hadi kufariki.
Umekurupuka tu kupost bila hata kusoma habari yenyewe kwa ukamilifu wake?
Unatafuniwa hata kumeza unashindwa unalilia msaada! Fanya effort kidogo....
Kwani ungenijibu tu kwamba kafariki usingizini, ungepukiwa lipi!? 😕 Duh! Watu hutaka kuanzisha kasheshe hata pale isipostahili. Duh! Kazi kweli kweli! Have a great Sunday.
Ulishindwa nini kusoma hadi nikusomee (nikujibu). Umezoea vya mteremko eeh?
Kaaaaaazi kweli kweli!
Mungu amlaze pema. Ina Lilah Waina Ilayhi Raj'un.
Source: MICHUZI Blog