Mchambuzi,
Who is preventing us from reviving our industrialization program iliyokwama kutokana na ukata wa miaka ya 80?
Kwa kweli mmenifanya nilie kwa kukumbuka hotuba za baba huyu. Inafika mahali naona alikuwa ni nabii wa siasaxxxxxxxxxx
Ila subirini wasema hovyo juu ya Nyerere humu ndani waje utasikia tetezi zao na utawashangaa kama ni watanzania kweli!
Nyerere has both the good side and the bad side as well, just like any other head of state under the sunWatakuja tu, wanatafuta picha za mabarabara, magorofa marefu ya vioo, ma-pantoni, maduka ya Mlimani City na Quality Plaza, vyote ambavyo vilikuja after 1985, na kutubandikia picha hizo humu, kisha kuzitumia kujenga hoja zao za kumkejeli Mwalimu ambae yeye alilenga wanakijiji - wingi wao ukiwa zaidi ya milioni 30 kati ya watanzania takribani milioni 45 leo;
Nyerere has both the good side and the bad side as well, just like any other head of state under the sun
wabongo kwa kupenda porojo. Hapa hawatakuja.
Hapa kuna jambo la ziada kuhusu Mwalimu. Yeye kwa kuwa kwake kiongozi bora alikuwa haogopi kuwajenga wananchi wake kwenye mazingira ya kujiandaa kuja kuasi watakapokuja watu kama hawa tulio nao sasa. Hapa pia ndugu yangu Mchambuzi unazungumzia Legacy ya Mwalimu.
Mwalimu ni kitabu kisichoisha hamu, na kwa wale wasiompenda wajue kwamba tutaendelea kumfanyia rejea mpaka hapo Kiyama kitakapotukutia. Mwalimu alikuwa anajua ni kwa nini watu wanaasi, mara zote ulipokuwa unatokea uasi alijaribu ama kuelezea uasi huo au kujadiliana na waasi kuhusu vyanzo vya uasi wao.
Hotuba hii haijawahi chapishwa tena since 1987, wala tolewa kwenye TV au Radio, na sababu tunazijua wazi; kwani kama Mwalimu angekuwa failure kweli na hastahili kuitwa BABA WA TAIFA, hotuba hii ingekuwa inaelea kote kwenye media; Ni matumaini yangu ipo siku itachukuliwa na kuchapishwa kwenye magazeti ili wananchi wengi zaidi wapate kumwelewa vizuri zaidi BABA WA TAIFA, Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere; Kwa wale wenye interest ya kupata the original copy as it appeared kwenye Gazeti la Serikali la Mwaka 1987, nakala ya gazeti hilo ipo;
Arusha Declaration was the compas towards a "promised" land. In it's absence there is no hope.
I am among those who ridiculed the declaration, it is only after the old timer passed away that i came to realize that it meant much more than what it was being said. I remember he said something like "miiko ya uongozi" na "miiko ya utu". Look at we now, all fckedu up, the system is almost dead. Since we killed it in Zanzibar, and those who buried were not weeping, actually there were very happy and their celebrating now.
I am among those who ridiculed the declaration, it is only after the old timer passed away that i came to realize that it meant much more than what it was being said.
it is not that peace has come by itself. the source of peace in tanzania is not that the arusha declaration has done away with poverty even a little bit. Isn't there this poverty we are still living with? This poverty is right here with us. It is not the same economy we are grappling with? the fact is not that the arusha declaration has banished poverty even by an iota – nor did it promise to do so. the arusha declaration offered hope
so the question is, if the arusha declaration didn't promise to do away with our poverty why did we adopt it as our economic, social and political compass? from the early beginning.
Wasn't poverty one of our enemies?- so if we had exhausted all those decades to implement azimio la arusha only to be told by our "muasisi" that it didn't mean to do away with poverty then why did we waste our time with it in the first place?.
Hope, hope, hope,hope- people dont eat hope, dont wear hope, dont sleep in hope, hope will always be there even when you are rich, you will still hope for more!
People want tangible results.
Now i think, if azimio didn't mean to do away with poverty then it was wise to do away with it/modify it , and thus congratulations to president mwinyi.
Hivi Nyerere ndiye aliyejenga shule za kata? Nyerere ndiye anayelipa waalimu mishahara ya minimum wage ili washindwe kufundisha? Nyerere ndiye aliyegawa migodi yetu kwa maswahiba wao wazungu wakila nao pamoja na familia zao huku Watanzania wakiendelea kuwa mafukara? Nyerere ndiye aliyegawa ardhi yetu kwa mashirika makubwa ya kilimo ya nchi za nje kwa sera za kilimo kwanza?Watanzania bwana, ujue Nyerere aliwanyima elimu watu kwa wingi, akawajengea mazingira ya kuwa na hali moja ya maisha(umaskini) ili iwe rahisi kwake kuwatawala kwa kuwa mtu akiwa maskini na hana elimu atahoji au kupinga kipi, hii ndo sababu yeye Nyerere anaonekana kama Nabii Fulani vile, yapo matatizo mengi ya kiuchumi na kisiasa tunayoyashuhudia leo chanzo chake ni Nyerere ila watanzania wengi hawalielewi hili, Mkarage baho!
"Let me say no more. It is sufficient to say we should accept our principles, we should continue with our principles of building peace and peace itself. Tanzanians should continue to have faith in the party, in the government and in you in positions. Tanzanians should see you as part of them not their enemies. They should trust the party, the government and you who have opportunities for there is no country where everyone is equal. These fingers of mine are not equal, and in that sense there is no such equality anywhere."