Prof. Hoseah: Mimi siyo Rais wa TLS mropokaji

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!

"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza."

"....wakili yeyote aliyewahi kuniletea tatizo nilitimiza wajibu na kwalo nilifanya kimya-kimya na hii ni kwa sababu sina tabia ya kujisifu huku nikiropoka ili tu nionekane mbele za watu!"

Prof. Hoseah Rais wa TLS huko CH.

Your browser is not able to display this video.
 
Alisema hayo kwa kuulizwa swali gani au akiwa wapi (context ilikuwa ipi)
 
Kwan kutolea ufafanuz jambo la kisheria kweny vyombo vya hbr ni uropokaji? Kama Rais ni lazima awe awe anatoa briefs za masuala ya kisheria kadiri itapohitajika. Asifiche kweny kichaka cha kimya kimya.
Huyo ni Msukuma ameshajua ajenda zenu za kuchafuana. Hawezi kukubali ujinga wenu.
 
Akae pembeni kwanza inatosha
 
Kila mtu mnataka awe mropokaji kama Tundu Lisu.
Tundu lisu uabasheria aliupata kwa bahati mbaya fani halisi alitakiwa awe kiongozi wa ngoma ya kizaramo ile ya kusuta watu.

Wazaramo watani zangu kama mtu una kinyongo naye tafuteni Tundu Lisu mpelekeeni nauli ubelgiji aje aongoze nyimbo za kusuta huyo mtu una kinyongo naye!!
 
Kwani huyo hosea hana wajukuu alee,kaiba pesa za takukuru kavimbewa ashukuru ccm
 
Dada tuliza papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…