mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Huyu keshakosa kura tayari. Heri angefunga bakuli lakeDuh! Kwaiyo mropokaji alikuwa nani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu keshakosa kura tayari. Heri angefunga bakuli lakeDuh! Kwaiyo mropokaji alikuwa nani!
Haki ipi? Tell us what you have done on this nonsense! Aliyemfunga Mbowe bila kufuata sheria ulitoa ushauri upi? All the abductions and the body bags at the sea shores?!! Go to hell haki za binadamu zipi? Hadi upewe kazi!?? Rubbish we dont need you!!"....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!
"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza."
"....wakili yeyote aliyewahi kuniletea tatizo nilitimiza wajibu na kwalo nilifanya kimya-kimya na hii ni kwa sababu sina tabia ya kujisifu huku nikiropoka ili tu nionekane mbele za watu!"
Dkt. Hosea Rais wa Tls huko CH.View attachment 2196323
Wee nae tumia akili japo kdg, yaan Rais atolee taarifa chumban kwake? Ukishakua kiongoz kama Rais mamb yote ya kutolea fafanuz hua ni public!!Kwani umewahi kuhudhuria huko na ukakuta hatimizi hayo?
Wewe PIA HUFAI KUWA TENA RAIS wa TLS ndio maana hata MAGUFULI alikotoa UKURUGENZI WA PCCB"....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!
"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza."
"....wakili yeyote aliyewahi kuniletea tatizo nilitimiza wajibu na kwalo nilifanya kimya-kimya na hii ni kwa sababu sina tabia ya kujisifu huku nikiropoka ili tu nionekane mbele za watu!"
Dkt. Hosea Rais wa Tls huko CH.View attachment 2196323
Kujikweza kwa lipi? Wasukuma wangekuwa wanapenda kujikweza nchii ingetulia? Ukiwa sio mwanaharakati unaonekana hufai kuwa Raise wa TLS!Hana lolote huyu kama ni mstaafu alirudu kufanya nini hapo TLS.
Huyu anasadifu vizuri tabia za wasukuma.
Anapenda sana kujikweza ndiyo tabia zake.
Tundu Antipas Mughwai Lissu.Duh! Kwaiyo mropokaji alikuwa nani!
PandikiziKikosi kazi cha kuzima katiba mpya[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2196247
Ni kweli! Wasukumu ni passive in nature! Si unamuona jamaa anatoka damu puani na mdomoni na polisi mwenye mtutu nyuma yake. Ukimuuliza vp atakujibu NDUHU TAABU -_ Hakuna shida! Haya ndiyo yanayoharibu uaharakati wote wa haki za binadamuKujikweza kwa lipi? Wasukuma wangekuwa wanapenda kujikweza nchii ingetulia? Ukiwa sio mwanaharakati unaonekana hufai kuwa Raise wa TLS!
Hosea naye zuzu tu!Wewe PIA HUFAI KUWA TENA RAIS wa TLS ndio maana hata MAGUFULI alikotoa UKURUGENZI WA PCCB
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Nchi ilitulia au ilivurugwa!Kujikweza kwa lipi? Wasukuma wangekuwa wanapenda kujikweza nchii ingetulia? Ukiwa sio mwanaharakati unaonekana hufai kuwa Raise wa TLS!