Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya!Mbona unapenda kulisha watu maneno? Ulifanya hivi kwa thread ya Bashiru na Mbowe pia!!
Mods wamezubaa sana, ilitakiwa uwe umepigwa ban kitambo sana. Kule reddit Kila hbr unayopost lazima uweke source au link sio hearsay!!!
Maxence Melo
Masuala yenye public interest hayapaswi kufanywa kimya kimya ukifanya hivyo public yaitakuelewa na hawatajua unachofanya hususan pale inapotokea hayo unayofanya kwa kificho yakakosa impact."....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!
"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza."
"....wakili yeyote aliyewahi kuniletea tatizo nilitimiza wajibu na kwalo nilifanya kimya-kimya na hii ni kwa sababu sina tabia ya kujisifu huku nikiropoka ili tu nionekane mbele za watu!"
Dkt. Hosea Rais wa Tls huko CH.
....una roho ya "kunokolea" watu sana!Mbona unapenda kulisha watu maneno? Ulifanya hivi kwa thread ya Bashiru na Mbowe pia!!
Mods wamezubaa sana, ilitakiwa uwe umepigwa ban kitambo sana. Kule reddit Kila hbr unayopost lazima uweke source au link sio hearsay!!!
Maxence Melo
YEHODAYA, hivi ile tenda uliyoomba ya kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu ilibuma? Au tenda nayo ilikufa baada ya mtoa tenda kutangulia mbele ya haki?Tundu lisu uabasheria aliupata kwa bahati mbaya fani halisi alitakiwa awe kiongozi wa ngoma ya kizaramo ile ya kusuta watu.
Wazaramo watani zangu kama mtu una kinyongo naye tafuteni Tundu Lisu mpelekeeni nauli ubelgiji aje aongoze nyimbo za kusuta huyo mtu una kinyongo naye!!
Una roho mbaya na ya "unoko!"Are you sure? Mpka unaweka direct quotation wakati ni maoni Yako!!
Ukileta maoni Yako au mtazamo usiweke quotation kabisa inafanya ionekane huyo mtu kaongea exactly ulichoweka hapo wakati ni misleading kabisa.
Fake news zimefika hadi JF? ndio zilisusha hadhi ya Facebook na sasa rasmi JF itakua irrelevant kwa watu makini kuingia humu.
I rest my case
Kila mtu mnataka awe mropokaji kama Tundu Lisu.
...chagua kuwa mwalimu na si kuwa mnoko!Ingia reddit au Quora ukiweka fake news mods wanaifuta na hta kupelekea jukwaa Zima kuwa suspended. Huwezi ona upuuzi kama wa humu JF kujaza speculation na fake news!!
Wewe nashangaa umepotosha tokea Uzi wa Bashiru..... Na watu wakamshambulia mzee wa watu kumbe ni speculation
Anamu address Lissu?? Unaforce Kila kitu kiwe against Lissu na upinzani. Unapata faida Gani kupotosha Umma?Una roho mbaya na ya "unoko!"
Hapo juu hujamsikiliza Daktari Hosea ama unapayuka tu?!!
Ieleweke wanoko tunaishi nao mtaani na kwalo siyo tusi bali sifa.
Yes turudishe heshima ya JF ni lazima sacrifices zifanyike especially watu incompetent kama wewe....chagua kuwa mwalimu na si kuwa mnoko!
Mwanamme mzima unaombea ban mtu?!!!
...babu ee endelea na 50 zakoYes turudishe heshima ya JF ni lazima sacrifices zifanyike especially watu incompetent kama wewe.
Mtu ana address panelist wenzake unaigeuza kuwa anamjadili Lissu!! Hapo Lissu anaingiaje?
Si ndio hapo sasa, hataki vyeo Lakini yuko kwenye cheo wakati alishastaafu? Yeye akubali tu kuwa hana mvuto asitake kuzungusha maneno wakati tatizo ni mvuto.Hana jipya kama sio mpenda vyeo akalee wajukuu kama anao.
Awaachie wengine nao wapate vyeo na kuropoka.
Kwani umewahi kuhudhuria huko na ukakuta hatimizi hayo?Kwan kutolea ufafanuz jambo la kisheria kweny vyombo vya hbr ni uropokaji? Kama Rais ni lazima awe awe anatoa briefs za masuala ya kisheria kadiri itapohitajika. Asifiche kweny kichaka cha kimya kimya.
Leo ndio nimejua jamaa ni mpushHuyo ni Msukuma ameshajua ajenda zenu za kuchafuana. Hawezi kukubali ujinga wenu.
Mr belgijiDuh! Kwaiyo mropokaji alikuwa nani!