Prof. Hoseah: Mimi siyo Rais wa TLS mropokaji

Haki ipi? Tell us what you have done on this nonsense! Aliyemfunga Mbowe bila kufuata sheria ulitoa ushauri upi? All the abductions and the body bags at the sea shores?!! Go to hell haki za binadamu zipi? Hadi upewe kazi!?? Rubbish we dont need you!!
 
Hosea alikuwa chaguo la Jamaa zetu wakampigania hadi akashinda
 
Kwani umewahi kuhudhuria huko na ukakuta hatimizi hayo?
Wee nae tumia akili japo kdg, yaan Rais atolee taarifa chumban kwake? Ukishakua kiongoz kama Rais mamb yote ya kutolea fafanuz hua ni public!!
 
Wewe PIA HUFAI KUWA TENA RAIS wa TLS ndio maana hata MAGUFULI alikotoa UKURUGENZI WA PCCB

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hana lolote huyu kama ni mstaafu alirudu kufanya nini hapo TLS.

Huyu anasadifu vizuri tabia za wasukuma.
Anapenda sana kujikweza ndiyo tabia zake.
 
Hana lolote huyu kama ni mstaafu alirudu kufanya nini hapo TLS.

Huyu anasadifu vizuri tabia za wasukuma.
Anapenda sana kujikweza ndiyo tabia zake.
Kujikweza kwa lipi? Wasukuma wangekuwa wanapenda kujikweza nchii ingetulia? Ukiwa sio mwanaharakati unaonekana hufai kuwa Raise wa TLS!
 
Mwanasheria ni learned hatakiwa kuwa mpiga miyowe ka bwege ambaye wanasoma

Wakili na hakimu au jaji hawatakiwi kuwa wapiga miyowe barabarani au mitandaoni

Uwakili ,uhakimu na u jaji ni noble proffession ni watu wasomi wanaotakiwa kwenye any issue kuwa watulivu wakushusha hoja kama bosi ya ma injinia ,Wahasibu,Wakaguzi, wataalaamu wa ugavi nk wakiongea hata Raisi masikio yake yote ana pay attention

TLS walau Dk Hosea kajitahidi kuifanya kiwe chama cha learned brother and sisters sio cha wapiga miyowe barabarani kama laymen wasiojua wakiwa na hoja nzito wapeleke wapi katika mihimili yote mitatu!! Mmojawapo au yote!! Huko nyuma kilikuwa na.maraisi wa TLS wasiojua hoja ikiwepo nzito wapeleke wapi bungeni,Serikalini au mahakamani? Walikuwa wakipiga miyowe barabarani kama wehu !!

Yaani mtu Raisi wa mawakili na hajui kukiwa na issue sensitive apeleke wapi anabwata barabarani
 
Mtu mzima akimaliza kula kisha akalamba vidole na sahani ni tabia mbaya sana
 
Kujikweza kwa lipi? Wasukuma wangekuwa wanapenda kujikweza nchii ingetulia? Ukiwa sio mwanaharakati unaonekana hufai kuwa Raise wa TLS!
Ni kweli! Wasukumu ni passive in nature! Si unamuona jamaa anatoka damu puani na mdomoni na polisi mwenye mtutu nyuma yake. Ukimuuliza vp atakujibu NDUHU TAABU -_ Hakuna shida! Haya ndiyo yanayoharibu uaharakati wote wa haki za binadamu
 
Huyu inaonekana hitilafu. Asijifiche kwenye kichaka cha ukimya, pengine hakufanya chochote ndiyo maana hana cha kuwaambia wananchi na wanachama wa TLS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…