Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

Kitendo cha kongamano kurushwa live na TBC kilinipa mashaka makubwa na sikupenda tena kuangalia kongamano hilo sababu nilielewa kabisa ni moja ya mipango madhubuti ya CCM.. Inatia kichefu chefu sana kwa Prof. kutumiwa. Lakini yote yana mwisho..
 
Kama CCM na Rais na wengine kama kina shivji wanadhani watanganyika tunaenzi sana muungano walete referundum waone! Surely we cannot have a union at the appeasement of Zanzibar. Wakumbuke hata Mwalimu aliwahi kuwasema wazanzibari kwamba "chao ni chao" lakini "chetu" pia wasema ni "chao"! Upuuzi huu mpaka lini?
 
Chagadema bana! mtu akiwa na wazo tofauti na nyinyi basi mnampa kila jina baya!
 
Naweza kuamini sasa kuna mkakati wa kuhakikisha maoni ya watanzania hayaheshimiwi,
Prof Shvij anaona maswala haya ya serekali Tatu ni ya wanasiasa na watu wenye uchu wa madaraka naomba anieleze,
Siasa inaupana kiasi gani? thn atueleze Tanganyika iko wapi na hayo mapendekezo ya wananchi yatupwa ili kumridhisha?
Wazanzibari hawataki muungano kosa lao liko wapi?

Ni mipango maalum imepangwa ili kuunga mkono hotuba ya rais jakaya na kumpotosha j.warioba ili ionekane serikali 3 kumbe haina maana., kama shivji alikuwa na cha kusema juu ya rasimu 2 ya katiba ilikuwa pale mapema tu lakini ni mipango ya kulishizwa maneno na ajenda zao tu ccm, taaluma yk shivji haikumsaidia saivi ameonekana wazi ni mtu wa kupotosha na ameshadharaulika tayari, kule Zanzibar tunamjuwa vyema sn

Chagadema mnakomaa ili muungano uvunjike ili mkwepe sharti la kupata wadhamini wa zanzibar ktk harakati za uchaguzi maana kule hamkubaliki' ndio mmeanzisha UKAWA.
 
Mkuu.
Halikuwa Kongamano la vyuo vikuu.
Rather lilikuwa kongamano la wachumia tumbo lililoratibiwa na CCM na kupigiwa chapuo na akina Pasco

Hamna kitu kizuri mkuu kama kuishi kwenye jamii ambayo maadui zako unawajuwa huwa unaishi kwa raha maana mbinu zote watakazo tumia kukuangamiza utazijua kabla ya kukudhuru na hili nimelijuwa leo sikujuwa mzee shivji kwa heshima niliokuwa nampa pamoja na watanzania wengine ni adui wa maendeleo wa taifa hili ila imekuwa vema kujua.
 
Last edited by a moderator:
Mzanzibar huyu kaloea bara, ana maslahi na huu muungano wa serikali 2
 
Binafsi nilianza kuondoa imani yangu kwa shivji siku niliposoma makala yake kwenye gazeti la raia mwema mwezi uliopita! Alitumia sehemu kubwa sana kumkosoa na kumponda warioba personally kisha akaanza kuhalalisha na kusema ni sawa kabisa kama bunge la katiba litabadilisha hata rasimu yote kwani lina malamlaka kubwa sana. Akaenda mbali zaidi na kusema Bunge la katiba ni muhimu na lina mamlaka kubwa kuliko hata kura ya maoni ya wananchi.!!!!
Tangu hapo nikajua si bure shivji kupotosha Umma kiasi hiki ni lazima kuna vitu nyuma ya pazia..
 
Kwa Shvij kukosa watu ambao wamekuwa madarakani,Kwanza afahamu mwaka 1984 Warioba alikuwa waziri wa sheria anafahamu vyema matatizo ya muungano, anafahamu chanzo cha G55,hivyo kukosoa kazi aliyo ifanya warioba basi ni kuwakosoa watanzania kwa maoni yao.
Kama tume iliwafikia watu wachache basi yeye kama msomi na mwadhiri UDSM angamwita warioba hapo UD na kupewa maoni ya wasomi hao;
 
Muda wa maoni ulikwisha siku nyingi kwa msomi kutoa maoni yake leo huku ni kukosa mwelekeo

Ni mipango maalum imepangwa ili kuunga mkono hotuba ya rais jakaya na kumpotosha j.warioba ili ionekane serikali 3 kumbe haina maana., kama shivji alikuwa na cha kusema juu ya rasimu 2 ya katiba ilikuwa pale mapema tu lakini ni mipango ya kulishizwa maneno na ajenda zao tu ccm, taaluma yk shivji haikumsaidia saivi ameonekana wazi ni mtu wa kupotosha na ameshadharaulika tayari, kule Zanzibar tunamjuwa vyema sn

ukiona tbc1 inatangaza live kongamano lolote kwa sasa ujue mwendelezo wa propaganda za rasimu ya warioba hamjastuka tu nimelichukia lihindi lile lenyewe halina wasiwasi tukialibikiwa linatafuta ndugu zake india.
 
Msomi kutokutumia elimu yake kwa ajili ya taifa leke kuliendeleza ni janga jipya hilo
 
Shivji kazungumza ukweli mtupu shida ya warioba alikuwa anapotosha akidhani hakuna watu wanaojua haya mambo sasa anazidi kuzodolewa.

Jadili yaliyomo ktk rasimu ambayo ni mawazo ya wananchi na siyo kumjadili Warioba. Yeye hakujifungia chumbani na kuandika rasimu.
 
Wakati wa utoaji wa maoni walikuwa wapi?
Hapa ndipo nilichoka eti kila shirikia huko ulaya lina bendera na nyimbo na wafanyakazi huimba kila asubuhi,kwa maneno yake ndio kusema zanzibar ni shirika

Ni mipango maalum imepangwa ili kuunga mkono hotuba ya rais jakaya na kumpotosha j.warioba ili ionekane serikali 3 kumbe haina maana., kama shivji alikuwa na cha kusema juu ya rasimu 2 ya katiba ilikuwa pale mapema tu lakini ni mipango ya kulishizwa maneno na ajenda zao tu ccm, taaluma yk shivji haikumsaidia saivi ameonekana wazi ni mtu wa kupotosha na ameshadharaulika tayari, kule Zanzibar tunamjuwa vyema sn

yule professr mkandala ameenda wapi au lile dau lake la mwisho kwenye uchaguzi lilikuwa poa , au anasubiri upigaji wa kura alete takwimu zake ??
 
Kweli shivji anasikitisha. Nini kimemkuta hadi kuwa kigeu geu namna hii? Nimepoteza imani na yeye kabisa!
 
Back
Top Bottom