Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Huyu muINDI nae anatakakutuchefua saa hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote sawa tu, ni maoni yake. Hata warioba alitoa maoni.
Kwanza kabisa swali la kwanza jibu unalo, kwani hata leo serikali ya JMT ndio inasimamia mambo yasiyokuwa ya Muungano Tanzania Bara.
Pili sheria ilishaweka utaratibu wa kushughulikia migongano ya Muungano. Na pia ikumbukwe kama mgogoro utahusu tafsiri ya kisheria basi Mahakama ya Kikatiba itatumika kutatua mkanganyiko huu. Bado sijaona ni mgongano upi ambao maraisi wanaweza kupata mikwaruzano kuutatua.
shivji ametekwa na mahaba ya muungano,ameshindwa kubalance uchambuzi wake,ameyasimamia vizuri mambo ya muungano katka uchambuzi wake pale anapoona yana manufaa kwa zanzibar,hakuna lolote alilosema kuhusu tanganyka,'kwenye ardhi mbona hakuongea kwamba wazanzibar wanamiliki ardhi tanganyika kinyume cha sheria? ardhi si suala la muungano,,kuhusu mawaziri wa zanzibar kuongoza wizara zisizo za muungano,ni kinyume cha makubaliano ya mambo ya muungano,hata kama SHVJI KAPEWA CONSULTANCYA NA IKULU KUMSHAURI KIKWETE KUHUSU KATIBA MPYA ASIWEKE USOMI WAKE PEMBENI,NAJUA AMELEWESHWA NA MAMIA YA MAMILIONI ALIYOPEWA, sisi wananchi hatuna hayo mamia ya mamilioni lakini ukweli tunaujua,*anaishia kutoa nasaha kwa watanganyika,kwa wazanzibari ananukuu sheria na mambo ya muunganoIkiwa mambo yasiyo ya muungano upande wa zanzibar yanashughulikiwa na serikali ya mapinduzi zanzibar.je upande wa Tanzania bara yanashughulikiwa chombo gani maana si ya muungano?
Swali la nyongeza ikitokea rais wa muungano akatokea Zanzibar na kukawa na mgogoro kati ya serikali ya muungano na serikali ya zanzibar na suala likawa zito ikabidi marais wa pande mbili walitatue.atatoka rais wa zanzibar ambae ni mzanzibari na rais wa muungano ambae pia ni mzanzibar je hakuna conflict of interest kwa rais wa muungano? Naomba ufafanuzi kamarade.
Tanganyika kwanza. Muungano baadae.
Hivi huyu Prof. ni Mzanzibar au Mtanganyika? Mbona alikuwa akiitetea sana Zanzibar huku akiwa kama anajipendekeza kwa JK? Ni mawazo yangu tu
kumbe Shivji wa Kilosa?! Kwa hiyo anatumika kisiasa? Nilivosikia tbc ndo wanarusha nilistuka sana, ila sasa ni kama nimeelewa ni kwa nini.