Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule professr mkandala ameenda wapi au lile dau lake la mwisho kwenye uchaguzi lilikuwa poa , au anasubiri upigaji wa kura alete takwimu zake ??
Shivji ulianza vizuri, unamaliza vibaya kwa aibu! Mind you, hao jamaa wa ovyo sana, wanamtumia mtu kama toilet paper, wakiisha kutumia kama wanavyokutumia sasa, watakutupa tu kuleeeeee!!!!!!! Yuko wapi leo Lamwai????? Unayoeleza hayaingii akilini hata kwa mtoto wa darasa la nne, ni akili kubwa kuchezewa na akili ndogo. Looooh, Fedha Fedheha!!!!!!!!!
wakati rasimu ya kwanza imetoka, walikuwa wapi hao wachumia tumbo???? Kama issue ni kukerwa na serikali tatu, walikuwa wapi kutoa ugolo wao kabla ya mabaraza ya katiba???Chagadema bana! mtu akiwa na wazo tofauti na nyinyi basi mnampa kila jina baya!
Kitendo alichofanya Prof Shivji, kitamsumbua rohoni mwake for the rest of his days. Na ni kwa sababu maandiko yake mengi huko nyuma yanapingana na hii 'consultancy service' anayofanya sasa.
Inasemekana wiki jana alikuwa ikulu akinywa juisi.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Prof. Shivji akosoa rasimu ya katiba, asema muundo wa serikali 3 utavunja muungano, asema katiba ya Zanzibar haina makosa yoyote,shivji amesema hayo leo kwenye kongamano la vyuo vikuu kuhusu muungano lilorushwa live na TBC1 je matamshi haya ya prof Shivji ni ya kizalendo?au ni ya kisiasa kama yale ya JK kwenye kufungua bunge la katiba?