Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
Hawa ndio watz tunaowaongelea.....aisee we have a long way to go..mbaya zaidi huyuu ni mama...yelewiiii ngachokaaaaaa..
 
Tanzania simama niteremke nimechoka na hizi humps
 
Mambo ya wasiasa hayaeleweki. Two days ago kawaambia wastafu hawezi kuwalipa elfu 30 kama pensheni. Mwinyi anapewa brand new Benz!! Wenye nchi halo. Sie tulie tu.
 
Mambo ya wasiasa hayaeleweki. Two days ago kawaambia wastafu hawezi kuwalipa elfu 30 kama pensheni. Mwinyi anapewa brand new Benz!! Wenye nchi halo. Sie tulie tu.
Wenye Nchi ni sisi sema bado asilimia kubwa vichwa wanatumia kama Mfuko wa kubebea meno
 
Hii sheria ilipitishwa na bunge na ni sheria halali katika vitabu vya sheria tz.
100yrs from now tutakuwa na maraisi wastaafu 10 (hai au wafu) watakao takiwa kujengewa nyumba😂😂😂
Shame on us
NHC itoe nyumba kwa kila mstaafu kama lengo kweli ni kuenzi wastaafu wetu.
 
Issa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Ajabu sana. Ghafla Scholars wameana kuongea. Hiyo zawadi ingetolewa kipindi cha marehemu, hakuna yoyote angeweza kutoa neno. Mwisho, hizo gari (Beinz) hauingii dukani na kutoka nayo papo hapo. Lazima ufanye order. Hilo gari liliagizwa labda kabla hata ya janga la Covid 19.
 
Wenye Nchi ni sisi sema bado asilimia kubwa vichwa wanatumia kama Mfuko wa kubebea meno
Mkuu wenye nchi gani sisi tuganga njaa!!! Wewe nyumba umejenga? Kama umejenga fikiria jinsi ulivyohangaika sana!!!! Sasa wenye nchi wamestaafu na pensheni ya nusu mshahara wa raisi, pamoja na ulinzi, halafu nyumba wamejengewa pamoja na kwamba wao wenyewe walishajenga, na sasa benz mpya!!!! Tungoje sherehe ya kuzaliwa JMK sijui atapewa gari gani!!!! Hapo sijawataja wanaosinzia bungeni na wanalipwa fedha nyingi sana. Kuna mama ndiyo kwanza kaingia na kasifia sana kuwa kumbe mjengoni ni kuzuri hivyo! Alikuwa hajui masikini. Huo uzuri anaosifiwa si uzuri wa jengo au vitu anavyoviona ni michuzi!!!! Hao ndiyo wenye nchi na nimewaacha akina aka masamaki na aka kakoko na watu wa jinsi hiyo. Unakutwa na 7M nyumbani na takukuru wanasema wamemkuta na fedha kidogo tu. 7M ni kidogo kweli? Sasa hao ndiyo wenye nchi 3M kwao ni pesa ndogo sana sana wakati kwetu kupata 1M tu shughuli kubwa sana.
 
unafiki tu unamsumbua
 
Agawe mitaani ili iweje sasa? Nani aliwahi fanya hivyo? Labda kama unamsemea Askofu wa Arusha
Hata mwaka "haujesha!!" Mshasahau kuwa mkuu wa Malaika alivyokuwa akigawa pesa kwa "wanyonge" majiani...
 
Hata mwaka "haujesha!!" Mshasahau kuwa mkuu wa Malaika alivyokuwa akigawa pesa kwa "wanyonge" majiani...
Ahahahah, zikaongeza mzunguko wa fedha? Angalau aliwasaidia waliodhikika, sio ile ya wenye access na upigaji wapige kweli kweli huku wakilindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…