Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...

Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...

Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...

Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge

hovyo sana, wananchi wake wanachomwa mikuki midomoni yeye hana habari yuko busy na mashangi,
 
Kamanda Prof J kafanya jambo la maana sana. Hongera sana mbunge wangu.
 
hovyo sana, wananchi wake wanachomwa mikuki midomoni yeye hana habari yuko busy na mashangi,
Shangingi wewe mwnyewe mpuuzi mkubwa...kwanza watu waliochomona mikuki ni wa jimbo la Kilosa sio Mikumi, kwa taarifa yako. Utakufa na wivu wako...umeona mwenzako anaolewa unaleta wivu wako wa KIKE hapa? Kwa hiyo ROHO KWATU yako utasubiri sana.
 
koma mie nimezaa na mamako, niite baba.
 
koma mie nimezaa na mamako, niite baba.
Nenda kaolewe wewe basi....mwenzako anaolewa kiroho safi wewe nungayembe kinakuwasha nini? Utakaa sana wewe. Labda uje uolewe na mzee wa mika 76 aliyefiwa na mkewe!!!!!!
 
Nenda kaolewe wewe basi....mwenzako anaolewa kiroho safi wewe nungayembe kinakuwasha nini? Utakaa sana wewe. Labda uje uolewe na mzee wa mika 76 aliyefiwa na mkwe!!!!!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
hovyo sana, wananchi wake wanachomwa mikuki midomoni yeye hana habari yuko busy na mashangi,
Acha roho mbaya wewe. Hayo ni mambo binafsi ya mtu. Akiwa kazini atafanya kazi na akiwa nyumbani atajihusisha zaidi na familia yake. Hutokuja kufanikiwa kwa kuendeleza chuki na roho mbaya kwa wenzako. Penye jema sifia basi sio unaponda kila kitu hiyo ni dalili ya uchawi.
 
Doh
 
Inamaanisha mwanamke aliyekuwa anaishi nae & wana Mtoto pamoja hakuwa amemuoa au huyu ni mwingine tena
Ni mkanganyiko wa hali ya juu,sijui km wanaelewa maana ya kuvalishana pete au ndo movi znaendelea.
 
Shangingi wewe mwnyewe mpuuzi mkubwa...kwanza watu waliochomona mikuki ni wa jimbo la Kilosa sio Mikumi, kwa taarifa yako. Utakufa na wivu wako...umeona mwenzako anaolewa unaleta wivu wako wa KIKE hapa? Kwa hiyo ROHO KWATU yako utasubiri sana.
Hilo jamaa linatamani jama hiyo pete lingeveshwa lenyewe.
 
Hilo lijamaa ni SHOGA. Linamuonea wivu "mke" mwenzake kuolewa. Ni la ovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…