Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...
Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...
Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...
Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...
Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...
Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...
Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge
Shangingi wewe mwnyewe mpuuzi mkubwa...kwanza watu waliochomona mikuki ni wa jimbo la Kilosa sio Mikumi, kwa taarifa yako. Utakufa na wivu wako...umeona mwenzako anaolewa unaleta wivu wako wa KIKE hapa? Kwa hiyo ROHO KWATU yako utasubiri sana.hovyo sana, wananchi wake wanachomwa mikuki midomoni yeye hana habari yuko busy na mashangi,
Kipindi cha majaribio mkuuIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
koma mie nimezaa na mamako, niite baba.Shangingi wewe mwnyewe mpuuzi mkubwa...kwanza watu waliochomona mikuki ni wa jimbo la Kilosa sio Mikumi, kwa taarifa yako. Utakufa na wivu wako...umeona mwenzako anaolewa unaleta wivu wako wa KIKE hapa? Kwa hiyo ROHO KWATU yako utasubiri sana.
Nenda kaolewe wewe basi....mwenzako anaolewa kiroho safi wewe nungayembe kinakuwasha nini? Utakaa sana wewe. Labda uje uolewe na mzee wa mika 76 aliyefiwa na mkewe!!!!!!koma mie nimezaa na mamako, niite baba.
Shake well b4 useIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Acha roho mbaya wewe. Hayo ni mambo binafsi ya mtu. Akiwa kazini atafanya kazi na akiwa nyumbani atajihusisha zaidi na familia yake. Hutokuja kufanikiwa kwa kuendeleza chuki na roho mbaya kwa wenzako. Penye jema sifia basi sio unaponda kila kitu hiyo ni dalili ya uchawi.hovyo sana, wananchi wake wanachomwa mikuki midomoni yeye hana habari yuko busy na mashangi,
DohAcha roho mbaya wewe. Hayo ni mambo binafsi ya mtu. Akiwa kazini atafanya kazi na akiwa nyumbani atajihusisha zaidi na familia yake. Hutokuja kufanikiwa kwa kuendeleza chuki na roho mbaya kwa wenzako. Penye jema sifia basi sio unaponda kila kitu hiyo ni dalili ya uchawi.
Ni mkanganyiko wa hali ya juu,sijui km wanaelewa maana ya kuvalishana pete au ndo movi znaendelea.Inamaanisha mwanamke aliyekuwa anaishi nae & wana Mtoto pamoja hakuwa amemuoa au huyu ni mwingine tena
Hilo jamaa linatamani jama hiyo pete lingeveshwa lenyewe.Shangingi wewe mwnyewe mpuuzi mkubwa...kwanza watu waliochomona mikuki ni wa jimbo la Kilosa sio Mikumi, kwa taarifa yako. Utakufa na wivu wako...umeona mwenzako anaolewa unaleta wivu wako wa KIKE hapa? Kwa hiyo ROHO KWATU yako utasubiri sana.
Amaaa! Hv kumbe ni dume? Basi litakuwa SHOGA sio bure. Linatamani kupakuliwa.Hilo jamaa linatamani jama hiyo pete lingeveshwa lenyewe.
Hilo lijamaa ni SHOGA. Linamuonea wivu "mke" mwenzake kuolewa. Ni la ovyo sana.Acha roho mbaya wewe. Hayo ni mambo binafsi ya mtu. Akiwa kazini atafanya kazi na akiwa nyumbani atajihusisha zaidi na familia yake. Hutokuja kufanikiwa kwa kuendeleza chuki na roho mbaya kwa wenzako. Penye jema sifia basi sio unaponda kila kitu hiyo ni dalili ya uchawi.