Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Walikuwa wanachunguzanaIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanachunguzanaIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Kama Sugu na FaizaUnajua Mbunge lazima uwe na Bebe anayeeleweka
Mwanamke shape! hahahahaUmejuaje?
Au hilo shape?
Hongera zake kwa kufanikiwa kumla bata aliyemchunguzaWalikuwa wanachunguzana
Katika wote wewe umeeleweka zaidiAnamuoa mke wake.....
Hizo ni desturi za wageni.Hiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa?
Yaa au inaweza kua zaidi,nahisi ubunge ndo umemchochea afanye hvoHivi si anakaribia 40 yrs?