Prof J: Sidhani kama maua uliyopewa yanatosha. Ulikuwa mbele ya wakati

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana.

Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo basi ni Prof J. Huyu jamaa aliishi mbele ya muda. Ongelea chochote kwenye rap ambacho Prof hajafanya tukutajie.

1. Flow kali yenye mitambao isiyochosha?
2. Hit songs
3. Kurap kwenye beat lolote
4. Album zilizouza
5. Kustick kwenye mada- rappers wengine wimbo mmoja topics mia tano mara atajwe Shilole, mara Lowasa mara ngono hujui anaongelea nini..na hili ndilo tatizo la rap ya Leo.

Miaka 25 iliyopita au 20 Prof alikuwa akiongelea Zali ni zali verse ya kwanza hadi ya mwisho.

Prof J alifanya vijana wa mijini vijijini tukanunua walkman tumsikilize kila sehemu. Sikuhizi hakuna nyimbo kama zali la mentali, starehe, nikusaidieje.... hapo vipi n.k

Prof chukua maua yako.....hatukudai chochote. Uliishi mbele ya muda wako.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    4.6 KB · Views: 36
Bongo daresalaam..... Nimekamatia iyo.
Miaka ya 1999 ilikuwa ukimskia anarap kwa mara ya kwanza lazima uulize huyu nani.
Tofauti na wasanii wengi waliokuwa wanaungaunga mistari jamaa tayari alikuwa ananyooka mbaya.

Vijana wa simu janja hawajui tuliskiliza muziki kwa walkman.
 
Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana.

Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo basi ni Prof J. Huyu jamaa aliishi mbele ya muda. Ongelea chochote kwenye rap ambacho Prof hajafanya tukutajie.

1. Flow kali yenye mitambao isiyochosha?
2. Hit songs
3. Kurap kwenye beat lolote
4. Album zilizouza
5. Kustick kwenye mada- rappers wengine wimbo mmoja topics mia tano mara atajwe Shilole, mara Lowasa mara ngono hujui anaongelea nini..na hili ndilo tatizo la rap ya Leo.

Miaka 25 iliyopita au 20 Prof alikuwa akiongelea Zali ni zali verse ya kwanza hadi ya mwisho.

Prof J alifanya vijana wa mijini vijijini tukanunua walkman tumsikilize kila sehemu. Sikuhizi hakuna nyimbo kama zali la mentali, starehe, nikusaidieje.... hapo vipi n.k

Prof chukua maua yako.....hatukudai chochote. Uliishi mbele ya muda wako.
Mwamba ni hatari
 
Ni kweli kabisa..
Juzi nilikuwa nasikiliza wimbo "Mtazamo" aisee Prof J,Solo Thang kule Afande Sele wapewe maua yao.
Kila verse ina points ambazo mpaka kesho zitaishi.
 
Bado ukimwambia aimbe kwa sasa hawezi kuandika flow kali Kama za zamani.

Prof alikuwa anajua Sana

Kuhusu Maua yake nafikiri yeye mwenyewe alisema mwaka 2005 alipata Sana pesa na kuwa star mkubwa Ila Mitulinga ilikuwa ikimchanganya .

All the best prof jay
 
Back
Top Bottom