Prof Janabi ataja sababu Watu kuzeeka mapema

Huyu naye sijui amepewa ajira ya muda mfupi na watawala, ya kuwa mshereheshaji! wakati huu nchi inapoandamwa na madudu ya kila aina!!
 
Tunawasihi Media zetu.
Huyo mzee msimpe airtime maana hajui kama anatumika kisiasa na anaporomosha hadhi ya taaluma yake.

Muacheni atumie sosho media zake na za wale wauza viatu.

Nchi ipo kwenye mkwamo na perhaps msiba halafu anajitokea mtu kumislead jamii kwa ndoto na ego zake
 
Wasomi wa Afya kutoa taarifa za Afya ni kawaida sana wapo wengine E TV wanaongelea Afya ya binadamu kila kukicha cha kushangaza Prof wetu akitoa taarifa Wanaanchi wanakua waoga.
 
Hakuna kitu kitadumu milele katika huu ulimwengu, watu wengine wana majaliwa yao ila sio kuwa wanafuata kanuni kama asemavyo.

Hata yeye anaweza kuondoka akamuacha mwinyi na musuguri wakiendelea kudunda.
 
 
Naona propaganda za kutuhadaa wananchi dhidi ya ukosefu wa sukari, umeme, maji na Us dollar zinaendelea.

Hakika wamejipanga kikamilifu.
Kesho atasema matumizi ya Dolla sio salama kwa afya za watanzania[emoji2]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: K11
Huyu katumwa na CCM watu wasijadili issue ya umeme wajadili matamko yake.
 
Yeye mwenyewe angekuwa anakula vizuri, macho yake yasingehitaji usaidizi.
 
Mtu anaongea kitaaluma, lakini mibulula inaleta pumba za vijiweni na mataputapu ya chobisi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…