Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mtindo mbaya wa maisha na kula vyakula visivyofaa, inachangia kwa kiasi kikubwa watu kuzeeka mapema.
Profesa Janabi ameyasema hayo Jumanne Februari 20, 2024 wakati akizungumza na vyombo vya habari.
Amesema watu hawafi kwa sababu ya uzee, lakini wanakufa kwa sababu ya magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na mtindo wa maisha.
“Sijui kama kuna mtu amewahi kumuona mtu amekufa kwa sababu mzee. Wengine Mungu aliwapa uhai mrefu unamuona kabisa huyu ana afya yake. Leo hii ninyi mnafahamu unaweza kukutana na mtu ana miaka 40 na mwingine miaka 30 ukadhani yule wa 30 ndiyo ana miaka 45 kumbe amezeeka mapema kutokana na mtindo mbaya wa maisha ikiwamo ulaji usiofaa,” amesema Profesa Janabi.
Chanzo: Gazeti la mwananchi
________________

Ha ha ha....anatembea na matukio[emoji4]Huyu Spin Doctor iko siku atasema kuandamana pia kunazeesha.
Kesho atasema matumizi ya Dolla sio salama kwa afya za watanzania[emoji2]Naona propaganda za kutuhadaa wananchi dhidi ya ukosefu wa sukari, umeme, maji na Us dollar zinaendelea.
Hakika wamejipanga kikamilifu.
KabisaHuyu Spin Doctor iko siku atasema kuandamana pia kunazeesha.
Nini kimemsibu?
Maisha mazuri bila stress si ya dunia hii.Umri wa Kustaafu uwe miaka 40 watu wale maisha vizuri bila stress