KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #141
Jambo hili halina ubaya kwani dhumuni na malengo ni kuokoa uhai na kuboresha maisha maana maradhi ya figo yanasumbua Sana....Mkuu,Duniani kuna watu ambao wanaitwa ORGAN Donors ambao wanaamua wenyewe kwa hiyari yao wakiwa hai Kwamba iwapo watakufa basi Viungo vyao vinakuwa Donated.Mfano Mtu amepata ajali kubwa au naugua ugonjwa ambao ni terminal kama Cance lakini haujaathiri FIGO yake anaamua kujitolea FIGO yake ili mlevi mmoja aendelee kudunda na kula maisha kwani kuna ubaya GANI hapo?
Mashaka na hofu ya wadau ni kuwa tunafahamiana namna ambavyo taasisi zetu zinavyofanya kazi katika mlango wa rushwa.......hili jambo la khiyari litageuzwa kuwa biashara matokeo yake watu wanaweza kufoji nyaraka ili tu ahalalishe kuuza FIGO la ndugu yake kama donor....