Marehemu ni mlipa mlipa kodi wenu, mpk wanashindwa au wanavutana kulipia ghalama za matibu inamaana hao ni hoehae, na ghalama za muhimbili si za kitoto, kwan mkisamehe mtapata hasara gani,Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.