Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Huyu mzee atuache tufurahie maisha yetu bana

Kila siku anakuja na ubwege bwege mwingi sana. Kwani yeye Mungu?


Hovyo sana
 
Afya ya mtu ni function ya mambo anuwai. Kwa hiyo tusije kufikiri ya kuwa ukiwa mwembamba basi uko salama. Au ukiwa mnene ndo tayari umekufa. Muhimu ni kuzingatia kanuni za afya. Kula chakula chenye lishe bora, kufanya mazoezi, kuburudika, kutokuwa na kinyongo, wivu, kutokuwa mzinzi na muasherati, kuwapenda wengine, kufanya kazi za kutumia nguvu kama kufagia uwanja wote, kufyeka bustani hayo ni kwa uchache tu. Afya njema iwe kwenu.
 
Kwa hiyo mkuu kufagia uwanja nayo ni kazi ya kutumia nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…