Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini


Pombe kali safari hii kutokuwepo kwenye orodha ya vigatarishi ni kusahaulika au maboresho?
 
Ukitaka kufa haraka nenda kaonane na hawa jamaa katika kitengo chao..
Utaambiwa kupima echo 300,000 kupima kipimo cha ECG 80,000 kupima figo 150,000 kumuona daktari 100,000 alafu wanakuambia dose zake zinapatikana Buguruni tu nenda kaulize bei kidonge kimoja 700 kwa nini usife haraka . hawa wasikilize tu kisha pita zako..
 
huyu profesa atupumzishe kidogo sasa
yeye abakie na uwembamba wake
vipi wanaovaa 25 kushuka chini afya yao ipoje
 
Anasema kiashiria kingine ni iwapo mwanaume anavaa suruali kiuno zaidi ya sentimita 40 na wanawake sentimeta 35 na kuendelea, hivyo wanatakiwa kuanza kuchukua hatua.
Nadhani ni inches siyo cm, maana cm 40 ni Nyigu hao
 
Tuna mawazo ya kufanya kila tuliwazalo na analotushauri,ila sasa,kipimo cha figo,moyo n.k siyo rafiki kwa baadhi yetu.
Ni kweli hivi vipimo vingekuwa subsdised ili kuwavutia watu wengi kwenda kupimwa kisha washauriwe namna bora za kurekebisha afya zao kuliko kuhubiri haya mambo huku milango imefungwa kwa ada kubwa za vipimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…